Ziwa Duluti

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search

Ziwa Duluti ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania. Linapatikana katika mkoa wa Arusha.

Uso wa ziwa unapatikana kwa kimo cha mita 1290 juu ya UB; eneo la maji ni km2 0.6. kina chake ni takriban mita 9. Hupokea maji yake kutoka kwa chemchemi chini yake na kupoteza maji kwa njia ya uvukuzaji, maana hakuna mito inayoingia au kutoka[1]

Tazama pia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]