Young Africans S.C

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Yanga S.c.)
Jump to navigation Jump to search
Young Africans S.C
Jina la utaniYanga (Swahili)
Imeanzishwa11Feb 1935
UwanjaBenjamin Mkapa National Stadium
(Uwezo: 62,000)
MwenyekitiMshindo Msola
MenejaSenzo Mazingiza
KochaNasreddine Nabi
LigiTanzania Premier League, Vodacom Premier League
Tovutitovuti ya klabu

Young Africans S.C. (maarufu kama Yanga, jina kamili ni Young Africans Sports Club) ni timu ya soka ya nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935 inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara. Jina la utani ''Timu ya Wananchi au Wanajangwani''.

Imepata kuwa mabingwa mara 27 nchini na mabingwa mara 5 kombe la mabingwa Afrika Mashariki Kagame.[1]

Katika ngao ya jamii Yanga imeifunga Azam FC kwa jumla ya magoli 8 kwa 7, takribani mara tatu kwa Azam FC kukutana na Yanga katika Ngao ya Jamii na Yanga kumfunga Azam kwenye mechi zote tatu.[2]

Wachezaji

Note: Flags indicate national team as has been defined under FIFA eligibility rules. Players may hold more than one non-FIFA nationality.

Na. Nafasi Mchezaji
1 Kenya GK Farouk Shikalo
33 Tanzania GK Ramadhani Kabwili
24 Tanzania GK Metacha Mnata
3 Tanzania DF Bakari Nondo Mwamnyeto
13 Tanzania DF Adeyum Saleh
24 Tanzania DF Yassin Mustapha
14 Tanzania DF Paul Godfrey
15 Ghana DF Lamine Moro
23 Tanzania DF Abdullah Shaibu Ninja
4 Tanzania DF Said Juma Makapu
15 Tanzania DF Kibwana Shomari
22 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo MF Mukoko Tonombe
20 Tanzania MF Zawadi Mauya
66 Burundi MF Saidi Ntibazonkiza
8 Rwanda MF Haruna Niyonzima
27 Tanzania MF Deus Kaseke
7 Tanzania MF Mapinduzi Balama
9 Burundi FW Fiston Abdul Razak
29 Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo FW Tuisila Kisinda
6 Tanzania MF Feisal Salumu Toto
11 Angola MF Carlinho
17 Tanzania MF Farid Mussa
10 Burkina Faso FW Yacouba Songne
2 Tanzania FW Ditram Nchimbi
16 Tanzania FW Wazir Junior
19 Ghana FW Michael Sarpong

Wachezaji wa kigeni

Ligi Kuu ya Tanzania inaruhusu wachezaji wa nje kumi. Yanga kwa sasa wanatumia wachezaji wa kigeni wafuatao:

Tanbihi

  1. Young Africans live score, schedule and results - Football - SofaScore. www.sofascore.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.
  2. Young Africans News | Goal.com. www.goal.com. Iliwekwa mnamo 2021-01-02.

Viungo vya nje