Thr33 Ringz
Mandhari
Thr33 Ringz | ||
---|---|---|
Studio album ya T-Pain | ||
Imetolewa | 11 Novemba 2008 | |
Imerekodiwa | 2007–2008 | |
Aina | Hip hop, pop rap, pop, R&B | |
Urefu | 60:35 (Regular) 73:08 (Deluxe Edition) |
|
Lebo | Nappy Boy/Konvict/Jive/Zomba | |
Tahakiki za kitaalamu | ||
|
||
Kava lingine | ||
Import edition cover |
||
Single za kutoka katika albamu ya Thr33 Ringz | ||
|
Thr33 Ringz[1] ni jina la kutaja albamu ya tatu ya mwimbaji na mtunzi wa R&B T-Pain. Albamu ilitolewa nchini Marekani mnamo tar. 11 Novemba 2008, ikaingia nafasi ya nne kwenye chati za albamu za Billboard 200 na nafasi ya kwanza kwenye chati za Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums. Albamu imepokea tahakiki mchanganyiko kutoka kwa wataalamu ya kutathmini muziki. Albamu ilichaguliwa kwenye "Grammy Award - ikiwa kama albamu bora ya R&B", lakini ilipotezwa na albamu ya Beyoncé, I Am... Sasha Fierce.
Orodha ya nyimbo
[hariri | hariri chanzo]# | Jina | Urefu |
---|---|---|
1. | "Welcome to Thr33 Ringz Intro" | 2:27 |
2. | "Ringleader Man" | 2:54 |
3. | "Chopped 'N' Skrewed" (akishirikiana na Ludacris) | 4:21 |
4. | "Take a Ride (Ringleader Man Skit)" | 1:45 |
5. | "Freeze" (akishirikiana na Chris Brown) | 3:36 |
6. | "Blowing Up" (akishirikiana na Ciara) | 3:24 |
7. | "Can't Believe It" (akishirikiana na Lil Wayne) | 4:33 |
8. | "It Ain't Me" (akishirikiana na Akon na T.I.) | 3:45 |
9. | "Feed the Lions (Ringleader Man Skit)" | 1:28 |
10. | "Therapy" (akishirikiana na Kanye West) | 3:34 |
11. | "Long Lap Dance" | 4:36 |
12. | "Reality Show" (akishirikiana na Musiq Soulchild, Raheem DeVaughn na Jay Lyriq) | 5:27 |
13. | "Keep Going" | 2:14 |
14. | "Superstar Lady" (akishirikiana na Young Ca$h) | 3:17 |
15. | "Change" (akishirikiana na Akon, Diddy & Mary J. Blige) | 5:10 |
16. | "Digital" (akishirikiana na Tay Dizm) | 3:14 |
17. | "Karaoke" (akishirikiana na DJ Khaled) | 4:48 |
Chati na mauzo
[hariri | hariri chanzo]Thr33 Ringz ikaingia #4 kwenye chati ya Billboard 200, ikaunza nakala 167,700 katika wiki yake ya kwanza.[2] Albamu ilitunukiwa Dhahabu, kwa kuuza nakala zaidi ya 530,000.[3]
Chati (2008) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard 200 | 4 |
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums | 1 |
Australian Top 40 Urban Albums Chart | 17 |
Canadian Albums Chart | 25 |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ New T-Pain Album Due In Late September. Archived 19 Julai 2008 at the Wayback Machine. Billboard.com. Accessed 22 Mei 2008.
- ↑ Langhorne, Cyrus (2008-11-19). "T-PAINS RINGS IN 167K IN FIRST WEEK SALES NUMBERS". Sohh.Com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-29. Iliwekwa mnamo 2010-03-14.
- ↑ "Auto-Tune Maker Cashes In On Hip Hop Trends | Get The Latest Hip Hop News, Rap News & Hip Hop Album Sales". HipHopDX. 2009-01-07. Iliwekwa mnamo 2010-03-14.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- T-Pain's Official Myspace
- Billboard.com News Feature On Thr33 Ringz Archived 19 Julai 2008 at the Wayback Machine.