U and Dat
Mandhari
“U and Dat” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya E-40, T-Pain, Kandi Girl kutoka katika albamu ya My Ghetto Report Card | |||||
Imetolewa | 27 Juni 2006 | ||||
Muundo | Digital download, CD single | ||||
Imerekodiwa | 2006 | ||||
Aina | West Coast Hip Hop Crunk | ||||
Urefu | 3:23 | ||||
Studio | BME | ||||
Mtunzi | Burris, K./Najm, F./Smith, J./Stevens, E./Bailey, A. | ||||
Mtayarishaji | Lil Jon | ||||
Certification | Platinum (RIAA) | ||||
Mwenendo wa single za E-40, T-Pain, Kandi Girl | |||||
| |||||
Mwenendo wa singles za T-Pain single | |||||
|
"U and Dat" ni kibao cha pili kutoka katika albamu ya E-40 My Ghetto Report Card. Kibao kimemshirikisha msanii T-Pain na Kandi Burruss. Kibao kilitayarishwa na Lil Jon. Remix yake ilitolewa mwanzoni mwa mwezi wa Agosti na Juelz Santana, Snoop Dogg, na Lil Flip. Kibao hiki hupewa kete ya kwamba ndicho kilichompelekea T-Pain kuwa maarufu na kitikio bab-kubwa katika orodha ya nyimbo za hip hop zilizofanywa na T-Pain.
Chati
[hariri | hariri chanzo]Chati (2006) | Nafasi iliyoshika |
---|---|
U.S. Billboard Hot 100 | 13 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 8 |
U.S. Billboard Hot Rap Tracks | 4 |
U.S. Billboard Pop 100 | 17 |
Makala hii kuhusu wimbo wa hip hop bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |