Buy U a Drank (Shawty Snappin')

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
“Buy U a Drank (Shawty Snappin')”
“Buy U a Drank (Shawty Snappin')” cover
Single ya T-Pain akishirikiana na Yung Joc
kutoka katika albamu ya Epiphany
Imetolewa 20 Februari 2007
Muundo Digital download, CD single
Imerekodiwa 2006
Aina Snap & B, Hip Hop, R&B
Urefu 3:48
Studio Konvict, Jive
Mtunzi Faheem Najm
Jasiel Robinson
Mtayarishaji T-Pain
Certification 3x Platinum (RIAA)
Platinum (RIANZ)
Mwenendo wa single za T-Pain akishirikiana na Yung Joc
"Outta My System"
(2007)
"Buy U a Drank (Shawty Snappin')"
(2007)
"Know What I'm Doin'"
(2007)
Mwenendo wa singles za Yung Joc singles
"In the Hood"
(2006)
"Buy U a Drank (Shawty Snappin')"
(2007)
"Coffee Shop"
(2007)
Video ya muziki
"Buy U a Drank (Shawty Snappin')" katika YouTube
Kava lingine
CD single cover

"Buy U a Drank (Shawty Snappin')" ni kibao cha mtayarishaji/mtunzi-mwimbaji wa R&B T-Pain. Kibao kilitolewa mnamo tar. 20 Februari 2007. Kibao ni single rasmi ya kwanza kutoka katika albamu ya T-Pain, Epiphany. Kibao pia kimemshirikisha rapa Yung Joc.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2007) Nafasi
iliyoshika
U.S. Billboard Hot 100 1
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs 1
U.S. Billboard Pop 100 4
New Zealand Singles Chart 2
Australian ARIA Singles Chart 18
Canadian Hot 100 25
Portuguese Singles Chart 39
UK Singles Chart -

Marejeo[hariri | hariri chanzo]