Konvict Muzik

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Konvict Muzik
Shina la studio Universal Music Group
Imeanzishwa 2005
Mwanzilishi Akon
Ilivyo sasa Inafanya kazi
Usambazaji wa studio Interscope Records, Jive Records/Zomba Label Group/LaFace Records
Aina za muziki Mbalimbali
Nchi Marekani
Mahala Atlanta, Georgia
Tovuti KonvictMuzik.com
KonvictOnline.com

Konvict Muzik ni studio ya kurekodia muziki inayomilikiwa na mwimbaji wa R&B na hip hop Akon. Mbali na Akon, kuna wanamuziki waliomaarufu kama vile T-Pain, Ray Lavender na Kardinal Offishall ambao wote wamesaini mkataba na studio hiyo. Toka mwanzo nyimbo nyingi za wasanii wa Konvict Muzik huwa zina radha ya muziki wa clank, kufuatia na mwenyewe Akon vile alivyoanza na nyimbo yake ya "Konvict" kuwa na radha ya aina hiyo.

Wasanii wa Konvict Muzik[hariri | hariri chanzo]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. http://www.eastcoastdigitalradio.info/2008/03/10/konvict-muziks-international-boy-band-glowb/ Archived 27 Mei 2008 at the Wayback Machine.
  2. http://www.theonemarketingroup.com/artists/ Archived 5 Aprili 2008 at the Wayback Machine.