Nenda kwa yaliyomo

Sesilia

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Mt. Sesilia kadiri ya Guido Reni, 1606.
Mchoro wa Botticini
Mt. Sesilia na Malaika kadiri ya Orazio Gentileschi
Domenichino, jaribio, abasia ya Grottaferrata, 16081610

Sesilia (kwa Kilatini Caecilia) alikuwa mwanamke Mkristo wa mjini Roma katika karne ya 2 na ya 3 BK.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu bikira mfiadini. Mapokeo yanasema alipata sifa hizo mbili kwa kumpenda Kristo katika katakombu za Kalisto kwenye barabara Appia [1].

Tangu kale jina lake limetumika kwa kanisa la Roma, mtaa wa Trastevere.

Sikukuu yake inaadhimishwa na madhehebu mbalimbali tarehe 22 Novemba.[2][3][4]

Ni somo wa wanamuziki kwa sababu inasimuliwa kwamba hao walipokuwa wakiimba kwenye arusi yake, mwenyewe "alikuwa akimuimbia Bwana moyoni".[5][6][7]

Tazama pia

[hariri | hariri chanzo]
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/25350
  2. Martyrologium Romanum
  3.  Chisholm, Hugh, ed. (1911). "Cecilia, Saint". Encyclopædia Britannica (11th ed.). Cambridge University Press.
  4. Kirsch, Johann Peter. "St. Cecilia", The Catholic Encyclopedia. Vol. 3. New York: Robert Appleton Company, 1908. 24 April 2013.
  5. Lovewell, Bertha Ellen. The Life of St. Cecilia, Yale Studies in English, Lamson, Wolffe, and Company, Boston, 1898
  6. Fr. Paolo O. Pirlo, SHMI (1997). "St. Cecilia". My First Book of Saints. Sons of Holy Mary Immaculate - Quality Catholic Publications. ku. 280–282. ISBN 971-91595-4-5.
  7. Foley O.F.M., Leonard. Saint of the Day, (revised by Pat McCloskey O.F.M.), Franciscan Media Archived 25 Aprili 2016 at the Wayback Machine. ISBN 978-0-86716-887-7

Viungo vya nje

[hariri | hariri chanzo]
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.