Rihanna

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Rihanna
Rihanna, LOUD Tour, Minneapolis 6 crop.jpg
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Robyn Rihanna Fenty
Amezaliwa 20 Februari 1988 (1988-02-20) (umri 31)
Asili yake Saint Michael, Barbados
Aina ya muziki R&B, reggae
Kazi yake Mwimbaji, Mwanamitindo
Miaka ya kazi 2005–hadi leo
Studio Def Jam Recordings
Tovuti www.rihannanow.com

Robyn Rihanna Fenty (amezaliwa tar. 20 Februari 1988) ni msanii wa uimbaji wa muziki wa R&B na pop kutoka nchini Barbados. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Rihanna. Alizaliwa mjini Saint Michael, Barbados, na kisha baadaye akaelekea zake nchini Marekani akiwa na umri wa miaka 16 ili kujiendeleza zaidi katika shughuli zake za kirekodi akiwa chini ya uongozi wa mtayarishaji wa rekodi Bw. Evan Rogers.

Baadaye akaja kuingia mkataba na studio ya Def Jam Recordings baada ya kusailiwa na kiongozi wa studio hiyo Bw. Jay-Z.[1]

Diskografia[hariri | hariri chanzo]

Tanbihi[hariri | hariri chanzo]

^ a: Barbados born producer Jimmy Senya Haynes produced and arranged Babylon the Bandit for the band Steel Pulse, but he was never credited as a member of the band.[2][3]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]

Commons-logo.svg
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Wikiquote-logo.svg
Wikiquote ina mkusanyiko wa dondoo kuhusu:
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani wa Barbados bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rihanna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.