Music of the Sun

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Music of the Sun
Music of the Sun Cover
Studio album ya Rihanna
Imetolewa Agosti 26, 2005 (2005-08-26)
Imerekodiwa Februari 2005–Mei 2005
Aina Pop, R&B, reggae
Urefu 52:18
Lebo Def Jam
Mtayarishaji Evan Rogers, Carl Sturken, Poke na Tone, Stargate, Rudy Maya, Johnny Nice, Vada Nobles, Full Force
Tahakiki za kitaalamu
Wendo wa albamu za Rihanna
Music of the Sun
(2005)
A Girl like Me
(2006)
Single za kutoka katika albamu ya Music of the Sun
  1. "Pon de Replay"
    Imetolewa: 22 Agosti 2005
  2. "If It's Lovin' That You Want"
    Imetolewa: 28 Novemba 2005

Music of the Sun ni albamu ya kwanza kutoka kwa mwimbaji wa Kibarbados - Rihanna. Ilitolewa mnamo tar. 30 Agosti 2005 ikiwa chini ya Def Jam Records nchini Marekani. Rihanna amefanya kazi na watayarishaji kadhaa kwa ajili ya albamu yake wa kwanza, hasa ni Carl Sturken na Evan Rogers ambaye ametayarisha na kuanda nyimbo nyingi kutoka katika albamu hii. Kimuziki, imechanganya aina kadhaa za muziki wa Kikaribi hasa kwa ajili ya asili ya maisha yake ya awali. Albamu ilitolewa ikiwa na ripoti mchanganyiko ambao wengine wanaponda na kusema kwamba bado msanii mdogo katika nyanja za R&B na kuna wengine wanadai kwamba albamu ina athira kubwa ya Kikaribi.

Chati[hariri | hariri chanzo]

Chati (2005) Msambazaji Nafasi Matunukio Mauzo
Australian Album Chart ARIA 18[1]
Austrian Albums Chart Media Control 45
Canadian Albums Chart CRIA/Nielsen SoundScan 7 Platinum 100,000+[2]
Germany Album Chart Media Control 31 30,000
Irish Albums Chart IRMA 12
Italian Albums Chart FIMI 22 40,000
Japanese Albums Chart Oricon 14 280,000
New Zealand Album Chart RIANZ 26
Swiss Albums Chart Media Control 38 10,000
UK Albums Chart BPI/The Official UK Charts Company 35 Gold 200,000+
U.S. Billboard 200 Billboard 10 Gold 500,000+
U.S. Billboard Top R&B/Hip-Hop Albums 2

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Music of the Sun kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.