Nicki Minaj

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Nicki Minaj.

Monika Tanya Maraj (anayejulikana kama Nicki Minaj; alizaliwa St. James, Trinidad, 8 Desemba 1982) ni rapa wa Trinidad wa Amerika, na ni mtunzi wa miziki, tena ni mwamitindo.

Walimfanya mwana dada huyo kuwa na jina kubwa zaidi Marekani alijulikana kwa jina la Queens, New York, Minaj alipata kutambuliwa na umma baada ya kutoa albamu tatu kati ya 2007 hadi 2009 na kisha akajiunga na Young Money Entertainment mwaka 2009.

Albamu ya kwanza ya Minaj na albamu ya pili, alitoa siku ya ijumaa mwaka(2010) ambayo aliita ijumaa ya zambarau: Roman Reloaded na minaj mwaka (2012), walitajwa kuwa nambari moja kwenye Umoja wa Mataifa ya Billboard hot100 na walitoa miziki mizuri zaidi iitwayo "Super Bass" na "Starships". Mwaka 2010, Minaj akawa msanii wa kwanza wa kike wa kike kuwa na albamu saba kwenye chati ya Marekani ya Billboard Hot 100. alitoa Albamu yake ya tatu katika studio,ya Pinkprint mwaka (2014),ambayo aliita , "Anaconda", ambayo ilishika namba mbili juu ya Hot 100 . Minaj alitoa filamu yake ya kwanza ambayo inaitwa Ice aɡe.

Minaj alikuwa msanii wa mwanamke wa kwanza aliyejumuishwa katika Orodha ya MTV.

People.svg Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Nicki Minaj kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.