Nenda kwa yaliyomo

Mtumiaji:Muddyb/Archive 9

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Archive Hii ni ukurasa wa Hifadhi ya Majadiliano ya Awali. Usihariri ukurasa huu usiongeze wala kupunguza kitu.
Ukitaka kujadiliana upya mambo yaliyomo humo nenda kwa ukurasa wa majadiliano ya sasa.

Ccheckmate

Maneno "checkmate" kutoka mchezo wa sataranji yalitoka lugha ya Kifarsi (au Kiajemi), yaani "shah mat", maana yake "mfalme amefariki". Kwa hiyo, mshindi wa mchezo anatangaza "checkmate" (au "shah mat") akimshinda mwenzake, yaani sanamu ya mfalme hawezi kukwepa kuondolewa kutoka katika bao la sataranji - mwisho wa mchezo. Je, umewahi kucheza mchezo huo? Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 12:36, 1 Septemba 2009 (UTC)

Ee, nimeucheza tangu utotoni mwangu. Bila shaka linapatikana hapa Afrika Mashariki, hasa kutokana na karne za athari kutoka kwa Waajemi, yaani waanzilishi wa mchezo huo. Nimewahi kuuona hata Tanzania - mara nyingi madukani kwa watalii, visanamu (au kete) vikichongeka vizuri sana. Nakutakia siku njema. --Baba Tabita (majadiliano) 05:54, 2 Septemba 2009 (UTC)

Makala 3

Vizuri, sasa tuna Vituo kujaza (kujaza vituo), Benki mawe na chokaa. Nadhani chokaa mawe ni makala ya muda mrefu kwa kutafsiri Google makala, lakini chokaa mawe ni muhimu kwa labda saruji na chuma. Benki ya kozi ni muhimu sana. Na kujaza Vituo au "Filling Station". Au "gesi kituo". / Well, now we have filling station, bank and limestone. Limestone is used for cement and steel. --Mr Accountable (majadiliano) 08:58, 2 Septemba 2009 (UTC)

Kigezo:Mtakatifu

OK, niko tayari. Nipe muda. --196.45.46.171 03:26, 6 Septemba 2009 (UTC)

Leo saa nane sijui kama nitaweza. --Riccardo Riccioni (majadiliano) 07:29, 7 Septemba 2009 (UTC)

Terminator

Fixed for now. Our {{Navbox}} is badly out of date. Sielewi hicho kigezo, ni kigumu mno! Flowerparty 00:50, 10 Septemba 2009 (UTC)

I can't fix the navbox template I'm afraid, sijui CSS. Flowerparty 02:07, 11 Septemba 2009 (UTC)

Wow!

I'm very happy that Kiswahili Wikipedia has reached 14,000! Without question I will continue to help out as much as I can. Jhendin (majadiliano) 01:54, 12 Septemba 2009 (UTC)

Re: Lech Wałęsa

Hello! Thank you so much for your help :) Best wishes, Patrol110 (majadiliano) 08:06, 22 Septemba 2009 (UTC)

Here you are. Swahili Wikipedia at Polish Wikipedia :-) Best wishes, Patrol110 (majadiliano) 08:22, 23 Septemba 2009 (UTC)
Hehehe! I've seen it. It's pretty good. Very impressive. Don't forget, I am a man with a word, it means I must expand the article about former president of Poland. Cheers.--Muddyb MwanaharakatiLonga 08:35, 23 Septemba 2009 (UTC)
Nice to hear you :) Okay but many thanks for a current Lech Walesa's article! Patrol110 (majadiliano) 08:42, 23 Septemba 2009 (UTC)

Culture and Weather / Utamaduni na Weather

Hi, it's autumn now and the weather here in the Northeast US has gone from 30C to 20C in the past two weeks. ... I was at Tower Records shopping for Bongo Flava and I bought "Bongo Flava : Swahili Rap from Tanzania", on out|here records. It's pretty good, all in Swahili. Are there any Bongo songs in English? / Hi, it's hösten sasa na hali ya hewa hapa katika US Northeast yamepita kutoka 30C kwa 20C katika kipindi cha wiki mbili. ... Nilikuwa katika Tower Records ununuzi kwa Bongo Flava na mimi kununuliwa "Bongo Flava: Swahili Rap from Tanzania", tarehe nje | hapa records. It's pretty mema, yote katika Kiswahili. Bongo kuna nyimbo katika lugha ya Kiingereza? --Mr Accountable (majadiliano) 14:53, 26 Septemba 2009 (UTC)

Yep. There are so many... But most of them were created as amateur 'cause there is small number of the TZees to buy those song which sang in English. Ndilo tatizo kubwa kabisa.. But it's pretty much good to have the Swahli one 'cause every day you're listening many songs from US and other countries which they use to sing their songs in English. Au? Poa sana. Don't worry, I will create the list of the songs for you then I'll upload them into my site and you will listen through there! The site is here. Cheers.--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:07, 26 Septemba 2009 (UTC)
You have this link http://www.alexa.com/topsites/category/Top/Regional/Africa/Tanzania --Mr Accountable (majadiliano) 11:44, 2 Oktoba 2009 (UTC)
I cheked it, but it looks like search engine? I tried to look over my page, but couldn't find it... Do you know how to listed in that site?--Muddyb MwanaharakatiLonga 12:03, 2 Oktoba 2009 (UTC)

Article request

Greetings Mwanaharakati, could you kindly help me translate part of this article in Swahili? It's about a Chinese philosopher and is listed as one of the articles every Wikipedia should have. 2-3 lines would be enough. Please. Your help would be gratefully appreciated. Thank you very much! --

OK. I've put the request at the Makala zilizoombwa. Thank you again--Biŋhai (majadiliano) 05:56, 28 Septemba 2009 (UTC)

您会说中文?真好。我目前在中国内地,大语种里边只会汉语和英语,不过我也有尝试去学一点西班牙语和俄语,但目前还不能用这些语言交流。关于具体的语言状况我已在英文维基用户页的Categories里标了。--Biŋhai (majadiliano) 09:03, 28 Septemba 2009 (UTC)

Here is the article you requested:zh:斯瓦希里语维基百科. Thanks a lot--Biŋhai (majadiliano) 12:46, 28 Septemba 2009 (UTC)

I couldn't understand your last massage. So what's its meaning (in eng.)?

Best regards.--Biŋhai (majadiliano) 13:45, 28 Septemba 2009 (UTC)

I would like to see it having the category inside of the article. I went there and loook it, but it has no category inside of it. Would you be so kind help it to have the category?--Muddyb MwanaharakatiLonga 14:16, 28 Septemba 2009 (UTC)
OK. Category added.--Biŋhai (majadiliano) 14:52, 28 Septemba 2009 (UTC)

Kigezo:Mtakatifu

Ndugu, nakubali kuandika juu ya urekebisho wa Kikatoliki kabla na baada ya matengenezo ya Kiprotestanti. Hongera kwa jitihada za kutafsiri makala za masingi badala ya Kipala. Lakini mwenyewe vipi? Amezidiwa? Pia sijui kile kigezo cha watakatifu kimeishia wapi. Mimi sijaelewa vizuri namna ya kukitumia. Salaam! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 08:34, 5 Oktoba 2009 (UTC)

Ni kweli kuna mgongano wa vigezo, ingawa unatokea tu kwa wakati huu ambapo habari za walimu wa Kanisa bado ni fupi. Hakika kigezo cha mtakatifu lazima kiwe cha kwanza. Kile kingine kinaweza kukaa chini. Kama ni kukiweka kwa upana, kazi kwako, fundi mkuu! --Riccardo Riccioni (majadiliano) 09:27, 5 Oktoba 2009 (UTC)

Could you help with translating a couple of sentences

Hey muddyb, would you mind helping to translate the following into Kishawili:

This file comes from the website of the President of the Russian Federation and is copyrighted. This file is licenced under the Creative Commons Attribution 3.0 Unported Licence. In short: you are free to distribute and modify the file as long as you attribute www.kremlin.ru.

The permission letter from the Press Secretary for the President of the Russian Federation is available as Kremlin authorisation-English.pdf.

This is for the Swahili documentation commons:Template:Kremlin.ru.

If you could help out, I would appreciate it. I can be contacted at en:User talk:Russavia or commons:User talk:Russavia. Cheers, --Russavia (majadiliano) 07:20, 7 Oktoba 2009 (UTC)

Hi again muddyb, thank you for your help with that translation, it's appreciated. I have made the sw documentation at commons:Template:Kremlin.ru/sw, I hope that I have linked the correct words. Cheers again, --Russavia (majadiliano) 09:26, 7 Oktoba 2009 (UTC)

The Fox and the Hound

You could correct the sentence right? It was translated from the English. Tinkywinkydipsylaalaapo! (majadiliano) 15:23, 7 Oktoba 2009 (UTC)

Also, there was yesterday a rerelease poster of uploaded to the commons that has since been deleted. However, since they have Albatrosi, I feel this should have an article. I will start on it. BTW, could you merge the history of Mtumiaji:Sjakoj into The Lion King since it's a redirect? Thanks! Tinkywinkydipsylaalaapo! (majadiliano) 15:26, 7 Oktoba 2009 (UTC)
I thought the template was real. See for example Mr. Accountable's Fox and the Hound edit. Tinkywinkydipsylaalaapo! (majadiliano) 15:45, 8 Oktoba 2009 (UTC)
OK, feel free to fix that, and the new page Home on the Range is, and in development. Tinkywinkydipsylaalaapo! (majadiliano) 15:54, 8 Oktoba 2009 (UTC)
I will have to leave, so you can work on it. For the plot, I already put what it's about in the lede, so the whole plot summery in the lede of the english can be the swahili plot version. It's not a very deep movie anyway. Tinkywinkydipsylaalaapo! (majadiliano) 15:56, 8 Oktoba 2009 (UTC)

Sorry

I knew the moves were a probablem, and the machine translating has gotten Disney accounts banned all over Wikipedia as well. I should really stop using it (no duh). Should I give you ccntent which I need/want translated or would it be too much? We could start simple with the sequel section and then move on to the music and characters. If we have the characters, we won't need the plot. Also the characters has interesting information, like forr example he designed Medusa after his wife whom he didn't really like. Also, I think at least once on this, I translated of to av, I think I choose Swedish instead of Swahili on the translater (se is probably the same thing). So that's another good reason I should stop using those things. I should only use it if I know it's correct (fat chance anyway). Tinkywinkydipsylaalaapo! (majadiliano) 02:10, 10 Oktoba 2009 (UTC)

Is Mia moja na moja Dalmatiansilikuwa incorrect? If it is then it should be deleted. Mtumiaji:Tinkywinkydipsylaalaapo!/Sandbox is up, a movie poster would be nice (). Thanks. Tinkywinkydipsylaalaapo! (majadiliano) 00:14, 11 Oktoba 2009 (UTC)

Home on the Range is a 2004 American animated musical feature film produced by Walt Disney Feature Animation and released by Walt Disney Pictures on April 2, 2004, and was named after the popular country song "Home on the Range". The 45th feature in the Walt Disney Animated Classics, it was the last traditionally animated Disney film until 2009's The Princess and the Frog, and the last Disney animated film to be released on VHS.

Set in the old west, the plot centers on a mismatched trio of dairy cows – brash, adventurous Maggie, prim, proper Mrs. Calloway and ditzy, happy-go-lucky Grace (voiced by Roseanne Barr, Judi Dench and Jennifer Tilly respectively) – who must capture an infamous cattle rustler, for his bounty, in order to save their idyllic farm from foreclosure. (As Grace puts it, "Who better to catch a cattle thief...than a cow?") Aiding them in their quest is Lucky Jack, a feisty, peg-legged rabbit, but a selfish horse named Buck (Cuba Gooding Jr.), eagerly working in the service of Rico, a famous bounty hunter, seeks the glory for himself.

The film stars the voices of Roseanne Barr, Judi Dench, Jennifer Tilly, Steve Buscemi, G.W. Bailey, Cuba Gooding, Jr. and Randy Quaid.

mradi wa Google kwa ajili ya wikipedia yetu

Muddyb, salaam!
Nimepata mawasiliano kutoka Christine Moon huko Palo Alto, California. Yeye anafanya kazi kwa shirika la Google, nao wameanza kupanga mradi au huduma kwa ajili ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Tanzania na Kenya ili waelimishwe kuandika makala kwa wikipedia ya Kiswahili. Kumbe!
Christine sasa ametualika kumwandikia maoni yetu, angalia tovuti hiyo:
http://docs.google.com/Doc?docid=0AbIPJ9Nv6udZZGd6MndwcGdfMzFkODNzOG0zYw&hl=en
Bahati mbaya yeye haelewi Kiswahili, kwa hiyo itakuwa lazima kumwandikia kwa Kiingereza. Ukihitaji msaada wangu upande wa kumwandikia, karibu unijulishe. Asante kwa michango yako!
Ni wako katika ujenzi wa lugha yetu, --Baba Tabita (majadiliano) 07:55, 10 Oktoba 2009 (UTC)


Usipokuwa na akaunti ya Google, utaweza kumtumia baruapepe; anwani yake ni mooncheech (at) gmail.com [sikuandika na alama ya @; uiingize wewe mwenyewe].
See user:Sj/Wikicup for a consolidated discussion. (feel free to move it to a better title!) Sj (majadiliano) 16:48, 10 Oktoba 2009 (UTC)

mkutano wa Skype kesho kutwa

Ndugu Muddyb, salaam! Alivyoniomba Christine, nimewaalika wengine pia kwa mkutano wetu wa kesho kutwa, hasa wakabidhi wenzetu wa wikipedia hii. Maneno ya mwaliko ni kama yafuatayo: "Jumatatu tarehe 19, saa kuminamoja za mchana/jioni (yaani saa za Nairobi) tutajaribu kukutana kwenye Skype kwa ajili ya majadiliano kuhusu kuwahamasisha wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Kenya na Tanzania kutumia na kuichangia makala wikipedia ya Kiswahili. Mpaka sasa tupo wanne: Christine wa Google (mooncheech), Sj (metasj), Muddyb (mohammed.lupinga) nami (stegling). Ni tumaini langu kuwa utakuwepo." Haya - salamu nyingi kutoka Nairobi, --Baba Tabita (majadiliano) 19:02, 17 Oktoba 2009 (UTC)

template:statustop

Hello Muddyb, You also need to add these lines to MediaWiki:Monobook.css:

div.topicon {
    position: absolute; 
    z-index: 10; 
    top: 10px;
    display: block !important;
}

Best regards, --ndege (:> )=| 22:20, 17 Oktoba 2009 (UTC)

majadiliano kuhusu utafsiri wa istilahi

Mpendwa Muddyb, salaam! Nimeanzisha majadiliano mapya kuhusu utafsiri wa istilahi ya wikipedia yetu hapa. Naomba uyaangalie na kuchangia maoni yako. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 09:34, 23 Oktoba 2009 (UTC)

István Sándorfi

Jambo, my friend, how are you today? :) I'm not so fine, I still did not get any job. I finished my studies at the university and I need find something to work. But, i write to you for this: there is a great Hungarian painter, I made today his English article, could you make a Swahili one? He is en:István Sándorfi. Thank you. :) If you want anything to translate, just say :) --Eino81 (majadiliano) 13:21, 27 Oktoba 2009 (UTC)

Sijambo! Sure. I'll write for you. But I need sometimes please!--Muddyb MwanaharakatiLonga 14:30, 27 Oktoba 2009 (UTC)
Hi! I'm not angry to you :) I've never been :) OK, the main thing is to have this article one day :) --Eino81 (majadiliano) 16:02, 27 Oktoba 2009 (UTC)

Korea

Salaam Muddy naona umetunga peninsula ya Korea. Ina kaka rasi ya Korea. Utaunganisha? --213.207.221.65 16:59, 27 Oktoba 2009 (UTC)

Hata sijui nifanyeje! Awali nilitazama kwenye Kiingereza labda tutakuwa na kiungo kuja kwetu, lakini wapiii??? Kosa la mwandishi wa awali aliyeandika makala ile kwa kiungo cha Korea badala ya Rasi. Ukiwa una ushauri au umuzi sahihi, basi endelea! Wako,--Muddyb MwanaharakatiLonga 06:13, 28 Oktoba 2009 (UTC)

Kigezo ya Gang Starr

Hi, I hope this is OK: Kigezo:Gang Starr --Mr Accountable (majadiliano) 14:25, 6 Novemba 2009 (UTC)

Muziki wa rock

I have a question. What kind of rock music do you think people would like to read about on Kiswahili Wikipedia? (Nina swali. Ni aina gani ya "muziki wa rock ambao unafikiri watu wangependa kusoma kwenye Kiswahili Wikipedia"?) There certainly is a lot of pretty good rock music, especially from the era before hip hop. ("Hakika kuna aina ya miziki ya rock mizuri sana, hasa wakati wa zama za kabla ya hip hop".) Here's an example: en:The Replacements. --Mr Accountable (majadiliano) 06:58, 7 Novemba 2009 (UTC)

To be frankly with you, I don't know. Because I've not heard people talks about rock music. However, there is only one TV show which goes under the name of "JUKEBOX" which shows an old music, rock, disco, pop, etc. So, um, I don't know. But if you want to write them, please carry on! Also, this mid-night as per your earlier message, ain't you sleep (kidding).--Muddyb MwanaharakatiLonga 07:09, 7 Novemba 2009 (UTC)
Well, I don't have much rock in my music diet anymore. But if you want to know anything about it maybe I could help. (Well, I don't have much mwamba katika muziki wangu chakula tena. Lakini kama unataka kujua chochote kuhusu hilo labda mimi inaweza kusaidia.) ... LOL, If I read the paper in Hong Kong, like http://www.yzzk.com/ , I have energy to work during the night. Everyone in China and Africa is awake or working now, I guess. (LOL, Kama mimi kusoma jarida nchini Hong Kong, kama http://www.yzzk.com/, nina nguvu kazi wakati wa usiku. Kila mtu nchini China na Afrika ni Amkeni au kazi sasa, I guess.) --Mr Accountable (majadiliano) 07:42, 7 Novemba 2009 (UTC)
Well, you are right about that. Also, I am sorry I've had to re-write Timbaland's article. As for the rock n' roll, no, I don't like that kinda a music! But it's a pretty good... Cheers.--Muddyb MwanaharakatiLonga 08:14, 7 Novemba 2009 (UTC)
Timbaland looks great of course. I hadn't heard of rapa Magoo before now. Magoo is like en:Quincy Magoo (Mr. Magoo) from TV, a mzeepofu, if that's a word. (Timbaland ser kubwa. Sikuwa sikia rapa Magoo kabla sasa. Yeye inaonekana kama Quincy Magoo kutoka TV, a mzeepofu, kama hiyo neno.) --Mr Accountable (majadiliano) 08:21, 7 Novemba 2009 (UTC)


Ukuta Berlin / makala ya wiki

Muddy salaam nimepanusha makala ya ukuta wa Berlin nikapanga kuweka kama makala ya wiki shauri la sikukuu ila tu naona sielewi ile ukurasa wa mwanzo tena. Utafanya wewe ? --Kipala (majadiliano) 13:48, 10 Novemba 2009 (UTC)

Thanks

Thanks for that link. By the way, do you know why my AWB (automated wikibrowser) doesn't work anymore on sw? Do I have to apply for permission? (Shukrani kwa link. Kwa njia, unajua kwa nini wangu AWB (automatisk wikibrowser) haifanyi kazi tena tarehe sw? Je nina kuomba idhini? ) --Mr Accountable (majadiliano) 03:02, 14 Novemba 2009 (UTC)

Hi, thanks, and here's the message I left at Rodhullandemu. --Mr Accountable (majadiliano) 06:51, 14 Novemba 2009 (UTC)
Sorry, I forgot to translate my message at Google: Hi, mimi nilikuwa kupitishwa kwa AWB on en.wikipedia miezi michache iliyopita, na akafanya mengi zangu juu sw.wikipedia; AWB kazi ya faini tu bila ya mimi kupata ruhusa rasmi kutoka kwa sw.wikipedia. Kisha, mwezi mmoja uliopita nilikuwa hawawezi mafanikio AWB kwa logi katika sw.wikipedia na mimi figured kwamba kibali AWB mekanism amekuwa kuweka saa sw, na mimi tu iliendelea kufanya kazi bila AWB. Basi leo nilimuuliza kama Muddyb kuhusu nina kazi baadhi ya kufanya na AWB, na aliacha ujumbe hapa. I am saa sw: user: Mr Kuwajibika. Thanks for your time. --Mr Accountable (majadiliano) 07:11, 14 Novemba 2009 (UTC)
Well, I'm just trying to be polite. Badala, mimi tu kujaribu kuwa na adabu. I study foreign languages all the time, so I'm used to it. Mimi kujifunza lugha ya kigeni wakati wote, hivyo I'm kutumika yake. Inafanya kazi rahisi, nadhani. It makes the work easier, I think. --Mr Accountable (majadiliano) 08:31, 14 Novemba 2009 (UTC)
Pia, mimi alipoteza zilizounganishwa na bongo flava ukurasa huu, unaweza kuandika hapa? --Mr Accountable (majadiliano) 08:45, 14 Novemba 2009 (UTC)
Hakika ninaweza kukuandikia! Tazama hapa! Shanglia.--Muddyb MwanaharakatiLonga 08:49, 14 Novemba 2009 (UTC)
Thanks, I made a bookmark. Thanks, mimi alifanya bookmark. --Mr Accountable (majadiliano) 08:54, 14 Novemba 2009 (UTC)

AWB: What I need to do is to add ramani to many cities in Jamii:Miji ya Marekani, is why I want AWB. --Mr Accountable (majadiliano) 03:43, 15 Novemba 2009 (UTC)

Well, I followed the instructions at en:AWB and downloaded a new version of AWB. Thanks for your time. --Mr Accountable (majadiliano) 11:22, 15 Novemba 2009 (UTC)
Hi, I noticed you were writing about Korea, do you know Drunken Tiger from Seoul and Los Angeles? I listen to this sometimes, I should try and write a short article. Here's a pretty good song and video in case you want to expand the article sometime: Hi, mimi niliona ungekuwa kuandika kuhusu Korea, unajua amelewa Tiger kutoka Seoul na Los Angeles? Mimi kusikiliza hii wakati mwingine, mimi wanapaswa kujaribu na kuandika makala fupi. Here's a pretty good wimbo na video katika kesi unataka kupanua makala wakati mwingine: http://www.youtube.com/watch?v=3n8rgdT0Ojc&feature=related . Otherwise I am still working on Miji ya Marekani, and when Ireland and France finish playing for the World Cup, I will start again with Miji ya Ufaransa. Vinginevyo mimi bado kazi Miji ya Marekani, na wakati Ireland na Ufaransa kwa ajili ya kumaliza kucheza Kombe la Dunia, nami kuanza tena kwa Miji ya Ufaransa. --Mr Accountable (majadiliano) 07:13, 16 Novemba 2009 (UTC)
Enhee! Yes, it's true. I was writing an articles about Korea - because I've just viewed the series which goes under the name of Jumong. This series was so exacited. It was so awesome. But the Drunken Tiger, hell, no, I don't know about that. However, I can make an article if want me to! Cheers.--Muddyb MwanaharakatiLonga 08:02, 16 Novemba 2009 (UTC)
Do you need mp3 via email? --Mr Accountable (majadiliano) 08:20, 16 Novemba 2009 (UTC)
Sure:)--Muddyb MwanaharakatiLonga 08:36, 16 Novemba 2009 (UTC)

TjBot

Hi, thanks for your message to me. I have put a request for a bot flag here. Thanks for your help and assistance, very much appreciated. Regards Tjmoel (majadiliano) 06:40, 19 Novemba 2009 (UTC)

Thanks for the info, appreciate it very much. Tjmoel (majadiliano) 16:44, 20 Novemba 2009 (UTC)

Sarufi

Hi, does this sentence need any work? (Mkoa wa Corrientes) << Corrientes ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Argentina. Mji mkuu wake ni San Juan de Vera de las Siete Corrientes au "Corrientes".>> --Mr Accountable (majadiliano) 12:46, 19 Novemba 2009 (UTC)

Nope, sir. It's pretty accuracy. Cheers.--Muddyb MwanaharakatiLonga 12:53, 19 Novemba 2009 (UTC)

Majaji, Kukaribishwa

We need ~3 head judges. Ask Kipala? And we need a welcome committee! 600 students will be clever but lost. Sj (majadiliano) 18:31, 20 Novemba 2009 (UTC)

I hope your talk went well, no 'kiwewe cha jukwaani'; there was certainly a lot of activity at Mabadiliko ya karibuni. --Mr Accountable (majadiliano) 13:07, 22 Novemba 2009 (UTC)
Yeah, but I couldn't do anything due to load of work which I've had! Si kitu. Maybe tomorrow I'll try to do something, though don't have much longer time to spend on Wikipedia - especially this dates. But it was awesome. Really awesome. Cheers.--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:02, 22 Novemba 2009 (UTC)

Kigezo: Infobox settlement

Hi, I have already changed all "Jiji" to "Kata" in the infoboxes from yesterday, in Wilaya za Arusha, Dodoma and Dar es Salaam. But I am wondering, is 'Kigezo:Infobox settlement' the correct infobox to use for the kata? Or should there be a different infobox? (Maybe, if a different infobox is needed, I should probably continue with the Infobox settlements anyway, and change them later.) Please advise when you have the time. / Hi, mimi tayari iliyopita wote "Jiji" na "Kata" katika infoboxes kuanzia jana, katika wilaya za Arusha, Dodoma na Dar es Salaam. Lakini mimi wanashangaa, ni 'Kigezo: Infobox makazi infobox sahihi kutumia kwa kataṃ? Au lazima kuna tofauti infobox? (Labda, kama inahitajika infobox tofauti, mimi lazima pengine kuendelea na makazi Infobox anyway, na mabadiliko yao baadaye.) Tafadhali kukushauri wakati una muda. --Mr Accountable (majadiliano) 11:18, 23 Novemba 2009 (UTC)

Yep, you can use even into the wards! So, don't be more wondering! Cheers.--14:30, 23 Novemba 2009 (UTC)
Ok, I'll go ahead and do them all. --Mr Accountable (majadiliano) 15:00, 23 Novemba 2009 (UTC)
+ If you need any help with the competition, let me know. / Ikiwa unahitaji msaada wowote na ushindani, I'd kushangilia kufanya hivyo. --Mr Accountable (majadiliano) 16:23, 23 Novemba 2009 (UTC)
Sure. But I'm still into the huge darkness because I did not attend to the seminar. They seems that, they were not having a good lesson which will make them to understand the wiki stuffs quite easy. They don't even know how to reply the message from the others. They don't even know how to add more language boxes (quite unnecessary, but they have to). They are not even add an interwikis into the articles! So, it's mess. I'm quite sure that they did not read the help page - so it's become a lot harder! Si kitu. Maybe sooner or later they'll understand! Cheers.--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:36, 23 Novemba 2009 (UTC)
Well, the top prize is a computer, that's a pretty good prize. ... When I started Wiki I felt a lot of stage fright, or "kiwewe cha jukwaani". If something is written on the wiki, it is on there more or less forever. It's actually not that easy to do. / Well, kuna tuzo moja, kompyuta, kwamba's a pretty good tuzo. ... Wiki Nilipoanza nilihisi hatua nyingi fright, au "kiwewe cha jukwaani". Kama kuna kitu limeandikwa wiki, ni juu kuna zaidi au chini ya milele. Ni kweli si rahisi kufanya. ... and of course if you do it, you want to do it right. It needs some practice to be good at it. / na bila shaka ikiwa kufanya hivyo, unataka kutenda haki. Inahitaji mazoezi baadhi kuwa nzuri saa yake. "I don't want to be embarrassed." --Mr Accountable (majadiliano) 16:43, 23 Novemba 2009 (UTC)
Kweli. Mwanzoni inakuwa tabu sana, lakini iwapo umepata maelekezo rahisi katika siku zako za mwanzo, basi sidhani kama ni ngumu sana. Pia, inategemea na uwezo wa mtu wa kutambua namna ya kutumia zana hizi za Wikipedia. Labda kweli baada ya siku kadhaa wataweza kutumia zana hizi! Jioni njema! Ahsante.--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:54, 23 Novemba 2009 (UTC)

Jimbo la Zürich‎ looks great, I'll try to duplicate for the other cantons. --Mr Accountable (majadiliano) 17:21, 26 Novemba 2009 (UTC)

Don't mention. I've got relief now. I hope I can participate for sometimes! Cheers.--Muddyb MwanaharakatiLonga 06:15, 27 Novemba 2009 (UTC)
I am reading this[1] and other material now, I will keep in touch. I am -a kufikiri, -a hadari (thoughtful) person. Thanksgiving went well. --Mr Accountable (majadiliano) 15:02, 27 Novemba 2009 (UTC)
Okay, no problems at all!!!--Muddyb MwanaharakatiLonga 15:09, 27 Novemba 2009 (UTC)

Wakabidhi

Hi, I decided to go ahead and self-nominate, at Wikipedia:Wakabidhi#User:Mr Accountable. --Mr Accountable (majadiliano) 10:27, 28 Novemba 2009 (UTC)

Tutorial

Asante kwa jibu kwenye ukurasa husika. Nisipokosei Kiing. "tutorial" inaweza kuwa na maana kadhaa. Neno la TUKI inamaanisha aina ya semina kwenye chuo kikuu (nisipokosei). Ila tu je itaeleweka nje ya wanafunzi? Wewe unaonaje "Mwongozo" - je haieleweki kirahisi zaidi? Kama la, tuache. Kama ndiyo: Tuhamishe. --Kipala (majadiliano) 10:04, 2 Desemba 2009 (UTC)

Pole mzee Kipala. Dhahili kamusi yako labda ya kitambo! Tazama hii:

tutor n 1 (at colleges, etc) mkufunzi. 2 mdarisi, mwalimu binafsi. 3 (GB) mwalimu wa chuo kikuu, mhadhiri. vt 1 fundisha, funda; darisi. 2 jizoeza, dhibiti, chunga. ~ial adj -a ukufunzi. n semina ya ukufunzi.


Basi hapo ndipo nilipoipata! Hata Wikipedia ya Kiingereza inayo kurasa ya mwongozo (guideline) na hii ya "tutorial-ukufunzi". Kama nilivyosema. Ukiona siyo, basi endelea!--Muddyb MwanaharakatiLonga 11:16, 2 Desemba 2009 (UTC)

Kamusi yangu ileile. Hapa naona: ni maana ya pekee (kawaida kabisa kila neno kuwa na maana mbalimbali ukitafsiri). Nashauri hapo acha kamusi kando - je wewe mwenyewe unaonaje? Neno gani linasaidia hasa? (Jaribu kukumbuka ulionaje ulipoanza wikipedia). --Kipala (majadiliano) 12:28, 2 Desemba 2009 (UTC)
Sawa. Hamisha tu. Lakini usisahau kama kuna "vikurasa" au "subpages" ambazo zinatumia jina la "ukufunzi"! Endelea tu. Pia, wakati nilivyojiunga, kwangu ilikuwa rahisi kwa sababu nilikuwa ninajua kutumia HTML code kiasa - na vilevile nilikuwa nina nia ya kuweza kutumia na kuchangia Wikipedia. Sijui wao. Labda wapo kwa ajili ya Laptop na zawadi nyinginezo (mzaha!) Basi we endelea tu mzee wangu.--Muddyb MwanaharakatiLonga 13:06, 2 Desemba 2009 (UTC)

Kutafsiri pendekezo

Salam Muddyb. Nimetafsiri pendekezo lile kuhusu idadi ya akounti mpya kule jumuia. Ukihariri ukurasa utaiona tafsiri yangu. Je, unaweza kurekebisha, halafu utoe alama za kuficha <!-- -->? Lloffiwr (majadiliano) 12:49, 2 Desemba 2009 (UTC)

Imefanyika. Kipala amesawazisha!--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:34, 6 Desemba 2009 (UTC)

Thanks

Kaka nashukuru sana kwa kunipa moyo, hata hivyo mwanzo mgumu, lakini ntakomaa mpaka kieleweke, bado misamiati mingi ya kiswahili sina so inakuwa tabu sana kutafsiri articles, hata hiyo ya umoja wa vijana wa umoja wa mataifa yenyewe imenipa tabu kinoma, but still ntakomaa. pamoja

Mbegu-hophop

http://en.wikipedia.org/wiki/Category:Hip_hop_stubs - Hi, what do you think of starting something like this? They have 5 categories: Hiphop, Hiphop-bio (for rappers, producers, etc), Hiphop-groups, Hiphop-songs and Hiphop-albums. / http://en.wikipedia.org/wiki/Category:Hip_hop_stubs - Unafikiri ya kuanzisha kitu kama hiki? Wanapaswa 5 categories: Hiphop, Hiphop-bio (kwa Rappers, wazalishaji, nk), Hiphop-makundi, Hiphop-nyimbo na Hiphop-Albamu.

  1. {{mbegu-hiphop}}
  2. {{mbegu-hiphop-wasifu}}
  3. {{mbegu-hiphop-kundi}} or {{mbegu-hiphop-makundi}}
  4. {{mbegu-hiphop-wimbo}}
  5. {{mbegu-hiphop-albamu}}

?

--Mr Accountable (majadiliano) 17:04, 5 Desemba 2009 (UTC)

Gosh! I was about to do that since long time, but... Didn't consider it again. Since we don't have that types of template, we are needed to create them. Do you think you can start them? Then let me do the correction!!!--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:31, 6 Desemba 2009 (UTC)

Mwongozo / ukufunzi

Muddy naomba msaada naona nimevuruga ukurasa huu nilipojaribu kubadilkisha jina jinsi tulivyoongea. Naona sina uzoefu na kurasa hizi zenye kurasa ndogo. --Kipala (majadiliano) 20:41, 5 Desemba 2009 (UTC)

Pole, mzee wangu. Sikupatikana kwa kipindi ulichohitaji msaada wangu. Hata hivyo, naona mambo yamekuwa mazuri. Pole kwa usumbufu!--Muddyb MwanaharakatiLonga 16:46, 6 Desemba 2009 (UTC)

Mwongozo

Nimeandika tafsiri ya kujaribia kule kwenye utangulizi wa mwongozo wa kuhariri. Nimeweka ndani ya alama za kuficha, ili uweze kusoma na kurekebisha sarufi, pamoja na kuniarifu kama maelezo ya Kiswahili hayaeleweki. Lloffiwr (majadiliano) 20:40, 6 Desemba 2009 (UTC)

Imefanyika. Nimetazama. Nimesahihisha kidogo sana. Tayari nimeiachia huru! Ahsante kwa msaada wako.--Muddyb MwanaharakatiLonga 09:34, 7 Desemba 2009 (UTC)

kwc

Shukran.

Xelawafs --41.204.180.30 16:25, 14 Desemba 2009 (UTC)

Nimerudi

Salaam, Bwana Muddyb. Nimerudi kutoka likizoni, au kazini, unavyopenda. Mambo mengi mapya. Nitajitahidi kuelewa jinsi ya kutathmini makala za hao wanafunzi ... Haya. Baadaye! --Baba Tabita (majadiliano) 20:22, 15 Desemba 2009 (UTC)

Pichas

Yes, I'll sort them out. ... Do you know how to make maps like Kigezo:Location map Tanzania for Italy, Hispania, Ureno, Brazil, Argentina, Chile, Mexiko, Urusi, etc? I tried to make one but was not able to figure it out. If you can ... / Ndiyo, I'll aina yao nje. ... Je, unajua jinsi ya kufanya ramani kama Kigezo: Location map Tanzania kwa Italia, Hispania, Ureno, Brazil, Argentina, Chile, Mexiko, Urusi, nk? Nilijaribu kufanya moja lakini hakuweza figure it out. Kama unaweza --Mr Accountable (majadiliano) 20:23, 19 Desemba 2009 (UTC)

Hi there! I don't even know how to create such template. It has a lots of confusing stuffs. So, if you know how to do, then please continue.--MwanaharakatiLonga 13:50, 21 Desemba 2009 (UTC)
Um, can I check with you? I need to create some categories for pichas. Are these titles ok?: Jamii:Picha ya watu; Jamii:Picha ya filamu; Jamii:Mchoro na uchoraji; Jamii:Picha ya mwanamuziki? --Mr Accountable (majadiliano) 08:06, 20 Desemba 2009 (UTC)
Use: Jamii:Picha za watu, Jamii:Mchoro na michoro? Jamii: Picha za wanamuziki! Cheers.--MwanaharakatiLonga 13:50, 21 Desemba 2009 (UTC)
Great, I'll categorize the files. But, I am not sure what to do about the new pictures with no licensing tags. For instance, the Free Use Living Person template isn't here. (Actually, there are a few templates available.) Maybe users could be told how to tag their pictures, maybe in a warning tag. And, since there are only several dozen pictures involved as of now, I can keep on top of the situation, so maybe the deletion policy could be 'expanded' during the Google Challenge, instead of being a strict 7-day deletion rule (as it is on the English Wikipedia, with 1000s of files and users). If there's a serious potential legal problem with a specific picture, then I might not be able to help much anyway. ... And, should I go to user talk pages and explain, in English, the problem with the pictures? If you think that would be effective, I'll go ahead and try. --Mr Accountable (majadiliano) 03:37, 22 Desemba 2009 (UTC)
I wholeheartedly agree with you, sir. Since we are on the season of the challenge, we'll need to extend the deletion period. Also, you can keep telling them by using an English language. They'll understand you pretty well. Furthermore: they do not have a habit to reply the message (almost all of them). Hence, don't expect an earlier reply, though. Cheers.--MwanaharakatiLonga 06:09, 22 Desemba 2009 (UTC)

Uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta

Salaam Muddy ulimwona Ivermac kuhusu makala ile. Ila tu katika historia sioni alama zake?? --Kipala (majadiliano) 09:28, 22 Desemba 2009 (UTC)

Khe! Kumbe nimekurupuka!!! Kumbe, wao walitaja mambo tofauti! Basi nitamweleza kilichotokea, mzee wangu.--MwanaharakatiLonga 12:42, 22 Desemba 2009 (UTC)

Christmas

Merry Christmas from the far, snowy (an nowadays very cold) Hungary, my friend! --Eino81 (majadiliano) 23:15, 22 Desemba 2009 (UTC)

Ellen John Sirleaf ilivyoandikwa na Mizuri

Salaam, Ndugu Muddyb. Nilipoendelea kutathmini makala za wanafunzi wa JKUAT, niligundua kuwa umebadilisha makala ya Ellen John Sirleaf ilivyoandikwa na Mizuri. Bila shaka ulikuwa na haki. Ila nahangaika kwamba kwa kufanya hivyo ulimkatisha mwandishi tamaa. Hajarudi kwenye challenge. Naona mwanafunzi akianzisha mada chini ya kichwa kingine, mada iliyo na makala tayari, kwa sasa tutumie kigezo cha mergeto na mergefrom badala ya redirect. Itakuwa kazi baada ya challenge lakini kwa sasa inarahisisha utathmini wa makala. Asante! --Baba Tabita (majadiliano) 05:16, 30 Desemba 2009 (UTC)

Loh! Pole yake. Kumbe labda aliona anabaniwa!!! Siendelei tena kuweka redirect, isipokuwa mergeto kama ulivyosema! Ahsante kwa kunihekimisha. Kila la kheri.--MwanaharakatiLonga 05:58, 30 Desemba 2009 (UTC)

kurasa za maana za Janeth

Muddyb, habari ya asubuhi? Samahani, sikuona kuwa umeshaanza kusogeza hizo kurasa. Nami sioni maana ya kurasa hizo. K.m. vitenzi kama (ku)ua au (ku)kata visiingizwe hivyo kwenye kamusi elezo, labda ya kwanza iwe uuaji. Haya, bado kujifunza kwao ... Wasalaam, --Baba Tabita (majadiliano) 05:51, 4 Januari 2010 (UTC)

TABASAMU KUUBWA! Eti na mimi niliona kakosea na nikaendelea! Lakini nilipoona umeanza na wewe, namimi nikala kona (maneno ya Dar hayo = kuondoka)! Lakini si kwa ubaya! Tena ni kweli bado wanajifunza - na hapakuwa na ulazima wa kuweka jina(ua) na... Hehehe... Upo juu! Kila la kheri.--MwanaharakatiLonga 06:00, 4 Januari 2010 (UTC)

George Miok

Hi! Happy new year! I would like to request something from you. Some days ago four Canadian soldiers were killed in service in Afghanistan, and one of them was a Hungarian. I wrote the article for the English wiki, but a bastard Canadian editor wants to delete that, because he is not so "notable". I decided to make him notable, to have an English article. Here is the article: George Miok. could you translate that into Swahili? I will make for him a Finnish article. Do you want anything from me to translate into Hungarian? :) --Eino81 (majadiliano) 15:55, 6 Januari 2010 (UTC)

Hello, Eino81! I owes you one article which goes under the name of István Sándorfi - so far I did not fulfil the last request, though. Nowadays, I'm very much busy in real life and I don't spend much time in Wikipedia - due to load of work which I have, but for this I do have an option because I want to perpetuate our friendship. OK then, tell me which article you really wants to be created between the two of them? The military officer or that one István Sándorfi?--MwanaharakatiLonga 05:55, 7 Januari 2010 (UTC)
Oh, OK, You can do it, when you have more time :) I prefer rather the soldier's article. - Eino81 (majadiliano) 16:46, 6 Januari 2010 (UTC)
Imefanyika.--MwanaharakatiLonga 05:55, 7 Januari 2010 (UTC)
Thank you! It was shorter, so that's why I choose this. --Eino81 (majadiliano) 18:02, 6 Januari 2010 (UTC)

Kutafsiri Viegezo

Haya Basi Tuanze kuyatafsiri. Nilijaribu nikalemewa. Si unisaidie tafadhali