Mtumiaji:Kelvin Aloyce

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Kelvin Aloyce

JINA Faili:PICHA MAELEZO Amezaliwa 00.00.9999 ABC Amekufa 22.33.8888 MAHALI Nchi TAKATUKALAND Majina mengine ABC DEF Kazi yake POA

number 1[hariri | hariri chanzo]

Josephine Mandamin[hariri | hariri chanzo]

Chama cha skauti cha Burundi, Ni shirika la kitaifa la skauti la Burundi, lilianzishwa mnamo mwaka 1940 na kuwa miongoni mwa wanachama wa Shirika la Dunia la Harakati ya Skauti mwaka 1979. Chama cha skauti cha Burundi kina wanachama 32,340 kufikia mwaka 2020.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]


Taasisi ya skauti Tunisia. Ni shirika la kitaifa la Skauti la Tunisia. Limeanzishwa mnamo mwaka 1934 na likawa mwanachama wa Shirika la Dunia la Harakati ya Skauti mwaka 1957 na pia ni mwanachama kamili wa Chama cha miongozo ya wasichana wa Skauti duniani. Taasisi ya skauti Tunisia ina wanachama 32,000 (24,080 Skauti na 8,582 Viongozi). Viongozi wa wasichana ni sehemu muhimu na huru kwenye Taasisi ya skauti Tunisia.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]



Chama cha Viongozi wa Kamerun (AGC, Guide Association of Cameroon) ni shirika la kitaifa la Mwongozo nchini kameruni. shirika la miongozo nchini kameruni hutumikia wanachama 3,000. Lilianzishwa mnamo mwaka 1943, kama shirika la wasichana tu na kuwa mwanachama mshirika wa Chama cha miongozo ya wasichana wa Skauti duniani mwaka 1972 na kuwa mwanachama kamili mwaka 2014. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]


Gambia Girl Guides Association (GGGA) ni shirika la kitaifa la Waongozaji nchini Gambia. Lilihudumia wanachama 9,371 (hadi kufikia 2003). GGGA lilianzishwa mwaka wa 1923, shirika la wasichana pekee likawa mwanachama kamili wa Chama cha Dunia cha Waelekezi wa Wasichana na Wasichana Skauti mnamo 1966.[1]


Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. The Gambia Girl Guides Association. Iliwekwa mnamo August 29, 2021.


Sierra Leone Girl Guides Association ni shirika la kitaifa la waongozaji nchini Sierra Leone. Lilihudumia wanachama 2,600 (hadi kufikia mwaka 2018). Sierra Leone Girl Guides Association lilianzishwa mwaka 1924 kama shirika la wasichana pekee likawa mwanachama kamili wa Chama cha Dunia cha Girl Guides na Girl Scouts mwaka 1963. Makao makuu ya shirika hilo yapo Tower Hill, Freetown, Western Area. [1]

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Member Organisation - Sierra Leone. World Association of Girl Guides and Girl Scouts.


Kuza Biashara ni shirika linalotoa mafunzo ya biashara ndogo ndogo na uwezeshaji barani Afrika. Shirika hilo liko Nairobi, Kenya. Julai 2015 Kuza Biashara ilishirikiana na The Coca-Cola Africa Foundation (TCCAF) katika mpango uliopewa jina la The YES Initiative kutoa mafunzo kwa vijana 25,000 kuhusu mbinu bora za ujasiriamali na kujiendeleza. Mradi wa majaribio ulizinduliwa katika kaunti ya Nairobi.

Tangu 2012 Kuza Biashara imekuwa sehemu ya mpango wa Kenya Top 100 ambao unafadhiliwa na Nation Media Group na KPMG East Africa.

Shirika linafanya kazi chini ya mantra ya Jifunze, Unganisha na Ukue.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]