Majadiliano ya mtumiaji:Kelvin Aloyce

Yaliyomo ya ukurasa hayatumiki katika lugha nyingine.
Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru

Karibu kwenye Wikipedia kwa Kiswahili!

Tunamfurahia kila mmoja anayeingia na kuungana nasi. Hii ni kamusi elezo ya maandishi huru. Unaweza kuandika makala uipendayo ama kuitafsiri kutoka Wikipedia ya lugha nyingine.

Ukipenda kutumia kurasa zetu za mwongozo na msaada, a) ukitumia simu bofya kwa "Dawati" chini kwenye dirisha lako na n) ubadilishe mwonekano wa Wikipedia kwa kubofya "Switch to old look" kwenye menyu upande wa kushoto.

Kwa mawili matatu labda tazama:

Jisikie huru kuuliza swali lolote lihusianalo na Wikipedia hii. Karibu kujitambulisha kwenye "Ukurasa wa mtumiaji". Ukitaka kupata kwanza uzoefu wa kuweza kuhariri Wikipedia, tafadhali tumia ukurasa wako kwa majaribio. Humo unaruhusiwa kujipatia uzoefu wa uundaji wa makala za Wikipedia! Juu yako mwenyewe uandike tu kwenye ukurasa wako wa mtumiaji. Humo uko huru kutangaza chochote upendacho, kama si biashara au matusi.

Ujue miiko:

Tunakushauri pia kuandikisha email yako; haitaonekana na wengine lakini wataweza kukuandikia kupitia mfumo wa Wikipedia. Karibu sana!


Welcome to Kiswahili Wikipedia!

We welcome you even if you don't speak Kiswahili. For a bot flag go to this site. If you try to edit entries as a non-speaker, it is better to first communicate with one of our admins who can advise you. You may find them at Wikipedia:Wakabidhi. And, please:

  • do not post computer translated texts (like Google Translate, Content Translation, etc. all do not work for Swahili)
  • nor copied texts/images from other webs to this site!
  • do not use links to commercial pages, never post anything that looks like advertising.

As a newcomer we advise that you register your email. This will not be visible to others but it allows us to notify you, which often is helpful in case of problems.

Hussein m mmbaga (majadiliano) 13:28, 16 Novemba 2022 (UTC)[jibu]

Kuhusu Tafsiri[hariri chanzo]

Tazama katika makala hii hapa https://sw.wikipedia.org/wiki/Redouane_Aouameur , usitumie tena tafsiri ya kompyuta, ipitie upya makala hiyo kwa maboresho zaidi, Amani sana Idd ninga (majadiliano) 09:07, 26 Februari 2023 (UTC)[jibu]

Kumbuka[hariri chanzo]

Kabla ya kuanzisha makala , ni vyema kwanza ukatazama aina ya makala unayotaka kuiandika kama tayari imeandikwa au la, mfano katika makala hii ya Maeneo yaliyolindwa ni makala ambayo tayari ilikuwa inapatikana kwa jina la Maeneo ya hifadhi, hivyo ulipaswa kuiboresha makala ya zamani kuliko kuanzisha makala mpya zinazofanana,Amani sana Idd ninga (majadiliano) 12:52, 13 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

Pia kabla ya kuweka kigezo cha Mbegu katika makala, basi angalia kama kigezo hicho kinaendana na makala uliyoandaa, ukiona hufahamu kuwa hiyo makala inafaa kuendana na kigezo gani, basi andika neno MBEGU peke yake,Idd ninga (majadiliano) 13:01, 13 Aprili 2023 (UTC)[jibu]

Feminism and Folklore 2023 - Local prize winners[hariri chanzo]

Please help translate to your language

Congratulations on your remarkable achievement of winning a local prize in the Feminism and Folklore 2023 writing competition! We greatly appreciate your valuable contribution and the effort you put into documenting your local Folk culture and Women on Wikipedia. To ensure you receive your prize, please take a moment to complete the preferences form before the 1st of July 2023. You can access the form by clicking here. We kindly request you to submit the form before the deadline to avoid any potential disappointments.

If you have any questions or require further assistance, please do not hesitate to contact us via talkpage or Email. We are more than happy to help.

Best wishes,

FNF 2023 International Team

Stay connected  

--Tiven2240 (majadiliano) 13:33, 10 Juni 2023 (UTC)[jibu]