Mrungi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Mrungi
(Catha edulis)
Mrungi huko Yemen
Mrungi huko Yemen
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Planta (mimea)
(bila tabaka): Angiospermae (Mimea inayotoa maua)
(bila tabaka): Eudicots (Mimea ambayo mche wao una majani mawili)
(bila tabaka): Rosids (Mimea kama mwaridi)
Oda: Celastrales (Mimea kama mkurufu)
Familia: Celastraceae (Mimea iliyo na mnasaba na mkurufu)
Jenasi: Catha
Forssk. ex Scop.
Spishi: C. edulis
(Vahl) Forssk. ex Endl.

Mrungi, murungu au mlonge (lakini tafadhali tumia kwa Moringa oleifera) ni kichaka au mti mdogo wa familia Celastraceae. Majani na vitawi yake huitwa miraa na hutafunwa kama kichocheo.

Picha[hariri | hariri chanzo]

Greentree.jpg Makala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mrungi kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.