Mpigania uhuru
Mpigania uhuru ni mtu ambaye hujihusisha na harakati za kujikomboa au kukomboa watu wengine. Anaweza kuwa anatumia mikakati ya vita au majadiliano ili kuletea anaowatetea uhuru.
![]() |
Makala hii kuhusu "Mpigania uhuru" ni fupi mno. Inahitaji kupanuliwa mapema. |
![]() |
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |