Masokwe : Tofauti kati ya masahihisho
Content deleted Content added
Masahihisho |
Masahihisho |
||
Mstari 5: | Mstari 5: | ||
| upana_wa_picha = 250px |
| upana_wa_picha = 250px |
||
| maelezo_ya_picha = [[Sokwe Mtu]] |
| maelezo_ya_picha = [[Sokwe Mtu]] |
||
| domeni = [[Eukaryota]] |
| domeni = [[Eukaryota]] <small>(Viumbe walio na seli zenye kiini)</small></small> |
||
| himaya = [[ |
| himaya = [[Animalia]] <small>(Wanyama)</small> |
||
| faila = [[Chordata]] (Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni) |
| faila = [[Chordata]] <small>(Wanyama wenye ugwe wa neva mgongoni)</small> |
||
| ngeli = [[Mamalia]] (wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao) |
| ngeli = [[Mamalia]] <small>(Wanyama wenye viwele wanaonyonyesha wadogo wao)</small> |
||
| oda = [[Primates]] (Wanyama wanaofanana kiasi na [[binadamu]]) |
| oda = [[Primates]] <small>(Wanyama wanaofanana kiasi na [[binadamu]])</small> |
||
| nusuoda = [[Haplorrhini]] (Wanyama wanaofanana zaidi na [[kima]]) |
| nusuoda = [[Haplorrhini]] <small>(Wanyama wanaofanana zaidi na [[kima]])</small> |
||
| oda_ya_chini = [[Simiiformes]] (Wanyama kama kima) |
| oda_ya_chini = [[Simiiformes]] <small>(Wanyama kama kima)</small> |
||
| oda_ndogo = [[Catarrhini]] (Kima wa Dunia ya Kale) |
| oda_ndogo = [[Catarrhini]] <small>(Kima wa Dunia ya Kale)</small> |
||
| familia_ya_juu = [[Sokwe (Hominoidea)|Hominoidea]] (Masokwe)) |
| familia_ya_juu = [[Sokwe (Hominoidea)|Hominoidea]] <small>(Masokwe))</small> |
||
| subdivision = '''Familia 2:''' |
| subdivision = '''Familia 2:''' |
||
* [[Hominidae]] (Masokwe wakubwa) |
* [[Hominidae]] (Masokwe wakubwa) |
Pitio la 19:22, 18 Machi 2017
Sokwe | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
| ||||||||||||||||
Ngazi za chini | ||||||||||||||||
Familia 2:
|
Masokwe ni wanyama wa familia ya juu Hominoidea. Kuna familia mbili za masokwe: Hylobatidae (masokwe wadogo au giboni) na Hominidae (masokwe wakubwa na binadamu). Masokwe wadogo huishi daima mitini na huteremka kwa nadra. Wana mikono mirefu ili kining'inia kutoka tawi moja hadi jingine na kutoka mti mmoja hadi mwingine. Wanatokea misitu ya tropiki ya Asia. Masokwe wakubwa hupitisha muda pengine mrefu ardhini, orangutanu muda kidogo tu na ngagi muda mrefu sana. Takriban spishi zote zinatokea Afrika lakini orangutanu wanatokea Asia ya Mashariki.
Mwainisho
Familia ya juu Hominoidea (Masokwe)
- Familia Hylobatidae (Masokwe wadogo au giboni)
- Jenasi Hylobates (Hylobates)
- Jenasi Hoolock (Hoolock gibbon)
- Jenasi Nomascus (Nomascus)
- Jenasi Symphalangus (Siamang)
- Familia Hominidae (Masokwe wakubwa)
Picha
-
Lar gibbon
-
Hoolock gibbon
-
Siamang
-
Golden-cheeked crested gibbon
Ili kupata maelezo kuhusu masanduku ya uanapwa ya spishi angalia: Wikipedia:WikiProject Mammals/Article templates/doc.