Tungo kishazi : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Ukurasa ulianzishwa kwa kuandika ''''Tungo kishazi''' ni tungo inayotawaliwa na kitenzi. Kitenzi hicho kinaweza kuwa kinajitosheleza kimaana au kisijitoesheleze kimaana vilevile. Kile kinachojit...'
 
+sawazisho
Mstari 11: Mstari 11:
==Aina za Vishazi==
==Aina za Vishazi==
Kuna aina kuu mbili za vishazi nazo ni:
Kuna aina kuu mbili za vishazi nazo ni:
(i) [[Kishazi huru]] (K/Hr)
*[[Kishazi huru]] (K/Hr)
(ii) [[Kishazi tegemezi]] (K/teg)
*[[Kishazi tegemezi]] (K/teg)


==Tazama pia==
==Tazama pia==

Pitio la 09:59, 7 Julai 2014

Tungo kishazi ni tungo inayotawaliwa na kitenzi. Kitenzi hicho kinaweza kuwa kinajitosheleza kimaana au kisijitoesheleze kimaana vilevile. Kile kinachojitosheleza kimaa - basi hutoa taarifa kamili na kile ambacho hakijitoshelezi kimaana - basi hakitoi taarifa kamili. Hivyo basi ni lazima kiambatana na kisha (kitenzi) kingie ndipo taarifa yake ikamilike.

Mfano

(i) Mtoto anacheza mpira (ii) Mtoto anayecheza mpira

Tungo zote mbili, yaani, (i) na (ii) zinatawaliwa na kitenzi.

Tungo namba (i)

Inatawaliwa na kitenzi ambacho kimejitosheleza kimaana - hivyo basi kimetoa taarifa kamili.

Tungo namba (ii)

Ijapokuwa tungo hii imetawaliwa na kitenzi, lakini kitenzi hicho hakijitoshelezi kimaana hivyo basi hakitoi taarifa kamili.

Aina za Vishazi

Kuna aina kuu mbili za vishazi nazo ni:

Tazama pia

Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Tungo kishazi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.