Mkataba wa Versailles : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
Addbot (majadiliano | michango)
d Bot: Migrating 84 interwiki links, now provided by Wikidata on d:q8736 (translate me)
Mstari 48: Mstari 48:
<!-- interwiki -->
<!-- interwiki -->


[[af:Verdrag van Versailles]]
[[als:Versailler Vertrag]]
[[an:Tractato de Versailles]]
[[ar:معاهدة فرساي]]
[[arz:معاهدة فيرساى]]
[[az:Versal sülh müqaviləsi]]
[[bat-smg:Versale sosėtarėms]]
[[be:Версальскі дагавор]]
[[be-x-old:Вэрсальская мірная дамова 1919 году]]
[[bg:Версайски договор]]
[[bn:ভার্সাই চুক্তি]]
[[br:Feur-emglev Versailhez]]
[[bs:Versajski sporazum]]
[[bs:Versajski sporazum]]
[[ca:Tractat de Versalles]]
[[ckb:پەیمانی ڤێرسای]]
[[cs:Versailleská smlouva]]
[[cy:Cytundeb Versailles]]
[[da:Versailles-freden]]
[[de:Friedensvertrag von Versailles]]
[[el:Συνθήκη των Βερσαλλιών]]
[[en:Treaty of Versailles]]
[[eo:Traktato de Versajlo]]
[[es:Tratado de Versalles (1919)]]
[[et:Versailles' rahu]]
[[eu:Versaillesko Ituna]]
[[fa:پیمان ورسای]]
[[fi:Versailles’n rauha]]
[[fiu-vro:Versailles' rahulepüng]]
[[fr:Traité de Versailles]]
[[ga:Conradh Versailles]]
[[gl:Tratado de Versalles]]
[[he:חוזה ורסאי]]
[[hi:वर्साय की सन्धि]]
[[hif:Treaty of Versailles]]
[[hr:Versajski ugovor]]
[[hu:Versailles-i békeszerződés]]
[[hy:Վերսալյան պայմանագիր]]
[[id:Perjanjian Versailles]]
[[io:Versailles-kontrato (1919)]]
[[is:Versalasamningurinn]]
[[it:Trattato di Versailles (1919)]]
[[ja:ヴェルサイユ条約]]
[[ka:ვერსალის საზავო ხელშეკრულება (1919)]]
[[kk:Версаль бейбіт келісімі]]
[[ko:베르사유 조약]]
[[krc:Версаль мамырлыкъ кесамат]]
[[la:Foedus Versaliis sancitum (1919)]]
[[lt:Versalio sutartis]]
[[lv:Versaļas līgums]]
[[mk:Версајски договор]]
[[ml:വെഴ്സായ് ഉടമ്പടി]]
[[mn:Версалийн гэрээ]]
[[mr:व्हर्सायचा तह]]
[[ms:Persetiaan Versailles]]
[[my:ဗာဆိုင်းစာချုပ်]]
[[nl:Vrede van Versailles (1919)]]
[[nn:Versaillestraktaten]]
[[no:Versaillestraktaten]]
[[oc:Tractat de Versalhas]]
[[pl:Traktat wersalski]]
[[pnb:ورسائی دی ٹریٹی]]
[[pt:Tratado de Versalhes (1919)]]
[[ro:Tratatul de la Versailles]]
[[roa-tara:Trattate de Versailles (1919)]]
[[ru:Версальский договор]]
[[sh:Versajski sporazum]]
[[si:වර්සේල්ස් ගිවිසුම]]
[[simple:Treaty of Versailles]]
[[sk:Versaillská zmluva (1919)]]
[[sl:Versajska mirovna pogodba]]
[[sq:Konferenca e paqës së Vërsajës]]
[[sr:Версајски споразум]]
[[sv:Versaillesfreden]]
[[ta:வெர்சாய் ஒப்பந்தம்]]
[[th:สนธิสัญญาแวร์ซาย]]
[[th:สนธิสัญญาแวร์ซาย]]
[[tl:Tratado ng Versailles]]
[[tr:Versay Barış Antlaşması]]
[[tt:Версаль килешүе]]
[[uk:Версальський договір 1919]]
[[ur:معاہدۂ ورسائے]]
[[vi:Hòa ước Versailles]]
[[war:Kasabutan han Versailles]]
[[yi:ווערסיי אפמאך]]
[[yo:Àdéhùn Versailles]]
[[zh:凡尔赛条约]]
[[zh-yue:梵爾賽條約]]

Pitio la 05:46, 9 Machi 2013

Maeneo yaliyotengwa na Ujerumani kwa Mkataba wa Versailles:
1. Schleswig Kaskazini kwa Denmark; 2. Posen Prussia Magharibi kwa Poland; 3. Dola-mji Danzig; 4. Eneo la Memel kwa Lithuania; 5. Silesia ya Juu kwa Poland; 6. Eeno la Hulchin kwa Chekoslovakia; 7. Alsasi-Lorrain kwa Ufaransa; 8. Eupen na Malmedy kwa Ubelgiji

Mkataba wa Versailles ulikuwa mapatano ya kimataifa ya kumaliza Vita Kuu ya Kwanza ya Dunia (1914 - 1918) upande wa Ujerumani. Mapatano yote yalifikiwa kati ya mataifa washindi pekee na serikali ya Ujerumani ilipaswa kuikubali mwishowe. Ujerumani ikatia sahihi kwa malalamiko lakini ilitishiwa ya kwamba wanajeshi wa washindi wangeingia Ujerumani.

Washiriki wa Mkataba

Nchi shiriki za mkataba zilikuwa pamoja na Ujerumani hasa Uingereza, Ufaransa na Marekani zilizoitwa "Watatu wakubwa" pamoja na Italia na Japani.

Nchi nyengine upande wa washindi waliotia sahihi lakini hazikuwa na athira katika mapatano yalikuwa Ubelgiji, Bolivia, Brazil, China, Kuba, Ekuador, Ugiriki, Guatemala, Haiti, Ufalme wa Hijaz (Uarabuni), Honduras, Liberia, Nikaragua, Panama, Peru, Poland, Ureno, Romania, Ufalme wa Yugoslavia, Uthai, Chekoslovakia na Uruguay.

Masharti

Mashariti ya mkataba yalikuwa makali. Ujerumani ilipaswa kukubali ya kwamba ilikuwa na kosa lote kwa vita na kuwa inadaiwa kulipa fidia kwa washindi.

Masharti mengi yalihusu maeneo yaliyotengwa na Ujerumani na kuhamishwa kwa nchi jirani, viwango bvya juu kwa jeshi la Ujerumani na madai ya malipo kwa nchi washindi.

Kwa jumla Ufaransa ililenga kuwapa Wajerumani masharti makali sana; Waingereza walitaka kuwa na Ujerumani yenye nguvu ya kiuchumi lakini bila uwezo wa kijeshi; Marekani ilitaka amani ya kudumu.

Maeneo yaliyotengwa na Ujerumani

  • Koloni zote zikigawiwa kwa Uingereza, Ufaransa, Marekani na Japani kama maeneo ya kudhaminiwa chini ya mamlaka ya Shirikisho la Mataifa
  • Majimbo ya Alsasi na Lorrain yakapelekwa Ufaransa
  • Jimbo la Prussia ya Magharibi yakapelekwa Poland
  • Maeneo mbalimbali madogo yalitengwa na kupelekwa chini ya Denmark, Poland na Chekoslovakia
  • Maeneo yaliyotengwa na kuwekwa chini ya ulezi wa Shirikisho la Mataifa: Danzig kama dola-mji wa pekee, Saarland iliyounganishwa kiuchumi na Ufaransa, Eneo la Memel lililokabidhiwa kwa Ufaransa na kutekwa na Lithuania mwaka 1923
  • Eneo la Eupen-Malmedy likapelekwa Ubelgiji

Masharti ya kijeshi

Ujerumani ilipaswa kupunguza jeshi lake hadi idadi ya wanajeshi 100,000, kubomoa manowari kubwa na kufuta nyambizi zake zote. Eropleni za kijeshi zilikuwa marufuku kwa Ujerumani.

Masharti ya kiuchumi

Ujerumani ilipaswa kukubali kulipa fidia kubwa kwa hasara zilizotokea kwa nchi washindi kutokana na vita. Kiwango cha fidia hii kilipangwa kuwa Mark bilioni 132 zilizotakiwa kulipwa hadi 1984.

Matatizo ya baadaye

Wataalamu wengi huona ya kwamba masharti haya makali yalikuwa sababu kuu ya matatizo ya kiuchumi ya Ujerumani yaliyosababisha hali ya kisiasa na kijamii iliyoleta ushindi wa chama cha NSDAP cha Adolf Hitler baada ya 1930.

Shirikisho la Mataifa

Sehemu ya mkataba iliunda Shirikisho la Mataifa lililotakiwa kuzia vita zijazo.