Kaledonia Mpya : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.2) (Robot: Modifying ko:누벨칼레도니 to ko:뉴칼레도니아
Mstari 116: Mstari 116:
[[ka:ახალი კალედონია]]
[[ka:ახალი კალედონია]]
[[kk:Жаңа Қаледония]]
[[kk:Жаңа Қаледония]]
[[ko:누벨칼레도니]]
[[ko:뉴칼레도니아]]
[[kw:Kelesoni Nowydh]]
[[kw:Kelesoni Nowydh]]
[[la:Nova Caledonia]]
[[la:Nova Caledonia]]

Pitio la 07:30, 9 Desemba 2012

Kaledonia Mpya


Kaledonia Mpya (Kifaransa: Nouvelle-Calédonie - nuvel kaledoni) ni eneo la ng'ambo la Ufaransa katika bahari ya Pasifiki. Kisiwa kikubwa cha Grande Terre pamoja na visiwa vingine ni sehemu ya Melanesia. Jumla la eneo la visiwa vyote ni 18,575 km² na kuna wakazi 230,789. Mji mkuu ni Nouméa. Hadi sasa pesa ni Franc ya pasifiki lakini kuna majidiliano kutumia Euro jinsi ilivyo Ufaransa bara.

Watu wa Kaledonia mpya watapiga kura mwaka 2014 kama watapendelea kujitegemea kama nchi huru au kuendelea kama sehemu ya Ufaransa.

Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.


Kigezo:Link FA