Visiwa vya Marshall : Tofauti kati ya masahihisho

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Content deleted Content added
d r2.7.3) (Roboti: Imeongeza ml:മാർഷൽ ദ്വീപുകൾ; cosmetic changes
d r2.6.8) (Robot: Modifying diq:Adeyê Marşali to diq:Adeyê Marshalli
Mstari 109: Mstari 109:
[[da:Marshalløerne]]
[[da:Marshalløerne]]
[[de:Marshallinseln]]
[[de:Marshallinseln]]
[[diq:Adeyê Marşali]]
[[diq:Adeyê Marshalli]]
[[dv:މާޝަލް ޖަޒީރާ]]
[[dv:މާޝަލް ޖަޒީރާ]]
[[el:Νήσοι Μάρσαλ]]
[[el:Νήσοι Μάρσαλ]]

Pitio la 08:12, 7 Desemba 2012

Visiwa vya Marshall

Visiwa vya Marshall ni nchi ya visiwani ya Mikronesia katika Pasifiki ya magharibi. Nchi jirani katika bahari ni Nauru, Kiribati, Shirikisho la Mikronesia na eneo la Marekani la Kisiwa cha Wake. Atolli ya Majuro ina nafasi ya mji mkuu.

Jiografia

Eneo la visiwa vya Marshall ni safu mbili za visiwa au atolli zinazoelea sambamba:

  • safu ya Ratak upande wa mashariki na
  • safu ya Ralik upande wa magharibi.

Kwa jumla kuna visiwa na vipande vya atolli 1,150 katika eneo la bahari la 1,900,000 km².

Historia

Jina limetokana na nahodha Mwingereza John Marshall aliyetembelea eneo hili mwaka 1788 na kulichora katika ramani. Hata hivyo visiwa vilikaliwa tayari tangu karne nyingi na watu kutoka Mikronesia lakini jina la kizungu limebaki kwa ajili ya jumla ya visiwa. Mwisho wa karne ya 19 Ujerumani ulianzisha ukoloni juu ya visiwa ukaviunganisha kiutawala na Guinea Mpya yya Kijerumani. Katika vita kuu ya kwanza ya dunia vilitwaliwa na Japani iliyoendelea kutawala visiwa kama eneo lindwa kwa niaba ya Shirikisho la Mataifa. Baada ya vita kuu ya pili ya dunia vilikuwa eneo chini ya Marekani.

1979 visiwa vimepata madaraka ya kujitawala na kupokea uhuru kufuatana na azimio la Umoja wa Mataifa 1990.

Majaribio ya kinyuklia

Kuanzia 1946 Marekani ilitumia visiwa kwa ajili ya majaribio ya mabomu ya nyuklia. Hadi 1958 ilitokea milipuko 6,913 kwenye atolli za Bikini na Eniwetok. Hadi leo kuna wakazi wa visiwa wanavyoteswa na maradhi yaliyosababishwa na mnurulisho wa mabomu haya. Bikini haitawezekana kukaliwa na watu kabla ya mwaka 2050, Eniwetok haifai kwa makazi ya kibinadamu kwa miaka 24,000 inayokuja.


WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Makala hii kuhusu eneo fulani bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu eneo hilo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Je, unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.


Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno.


Kigezo:Link FA