Kigezo cha maana
Mandhari
Kigezo cha maana ni kigezo kinachotumika kufafanua au kubainisha maana ya maneno katika tungo. Hasa kinalenga kufahamu maana za kina katika tungo.
Maelezo
[hariri | hariri chanzo]Kigezo hiki kina aina kuu mbili za tungo nazo ni:
- Tungo nyoofu/nyofu
- Tungo tata
(I) Tungo nyoofu
[hariri | hariri chanzo]Hii ni tungo ambayo maana yake iko wazi na inaeleweka wazi bila utata wowote ule. Tungo nyoofu ni tungo ambayo huwa na maana moja tu iliyo wazi kabisa.
(II) Tungo tata
[hariri | hariri chanzo]Hii ni tungo ambayo maana yake haiko wazi. Tungo tata ni tungo ambayo huwa na maana zaidi ya moja. Mifano:
- Panda
- Kaa
- Ua
- Meza
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigezo cha maana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |