Eneo bunge la Kangundo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Kangundo)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Kangundo ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Mi moja kati ya majimbo nane ya kaunti ya Machakos na lina wodi sita, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la mji wa Kangundo.
Historia
[hariri | hariri chanzo]Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1969. Mbunge wake wa kwanza alikuwa Paul Ngei.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1969 | Paul Ngei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1974 | Paul Ngei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1979 | Paul Ngei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1983 | Paul Ngei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1988 | Paul Ngei | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1990 | Joseph Kimeu Ngutu | KANU | Uchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Joseph Wambua Mulusya | DP | |
1997 | Joseph Kimeu Ngutu | KANU | |
2002 | Moffat Muia Maitha | Sisi kwa Sisi | |
2007 | Johnson Nduya Muthama | ODM-Kenya |
Kata na Wodi
[hariri | hariri chanzo]Kata | |
Jina la Kata | Idadi ya Watu |
---|---|
Kakuyuni | 19,098 |
Kalandini | 10,294 |
Kangundo | 34,565 |
Kanzalu | 22,334 |
Kawathei | 19,035 |
Kivaani | 15,961 |
Koma rock | 9,505 |
Kyanzavi | 23,417 |
Kyeleni | 13,402 |
Matungulu | 24,028 |
Nguluni | 13,460 |
Tala | 27,220 |
Jumla | x |
Wodi | |
Wodi | wapiga Kura waliojisajili |
---|---|
Kangundo East | 10,009 |
Kangundo North | 21,800 |
Kangundo West | 11,124 |
Matungulu East | 21,118 |
Matungulu North | 12,780 |
Matungulu West | 13,345 |
Jumla | 90,176 |
*Septemba 2005 [2].
|
Tazama Pia
[hariri | hariri chanzo]- Maeneo bunge ya Kenya
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1992
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 1997
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2002
- Uchaguzi Mkuu wa Kenya, 2007
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Parliamenterians in Kenya 1944-2007 Archived 28 Februari 2008 at the Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Kangundo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |