Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kangundo

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Kangundo ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Mi moja kati ya majimbo nane ya kaunti ya Machakos na lina wodi sita, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la mji wa Kangundo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1969. Mbunge wake wa kwanza alikuwa Paul Ngei.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1969Paul NgeiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1974Paul NgeiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1979Paul NgeiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1983Paul NgeiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1988Paul NgeiKANUMfumo wa Chama Kimoja
1990Joseph Kimeu NgutuKANUUchaguzi Mdogo, Mfumo wa Chama Kimoja
1992Joseph Wambua MulusyaDP
1997Joseph Kimeu NgutuKANU
2002Moffat Muia MaithaSisi kwa Sisi
2007Johnson Nduya MuthamaODM-Kenya

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Jina la Kata Idadi ya
Watu
Kakuyuni19,098
Kalandini10,294
Kangundo34,565
Kanzalu22,334
Kawathei19,035
Kivaani15,961
Koma rock9,505
Kyanzavi23,417
Kyeleni13,402
Matungulu24,028
Nguluni13,460
Tala27,220
Jumlax
Wodi
Wodi wapiga Kura
waliojisajili
Kangundo East10,009
Kangundo North21,800
Kangundo West11,124
Matungulu East21,118
Matungulu North12,780
Matungulu West13,345
Jumla90,176
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]