Foresti (Mbeya mjini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Foresti
Kata ya Foresti is located in Tanzania
Kata ya Foresti
Kata ya Foresti
Mahali pa Foresti katika Tanzania
Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89°S 33.43°E / -8.89; 33.43
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Mjini
Idadi ya wakazi
 - 6,649

Forest ni jina la kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania yenye Postikodi namba 53103. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 6,649 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53101.


Foresti ni kata mpya ng'ambo ya barabara kuu ya TANZAM kati ya Mwanjelva na Mabatini. Imeanzishwa tangu miaka ya 1980 katika eneo penye msitu wa milingoti ulioanza kando la barabara kuu ukitazama Mabatini. Shabaha ya kuanzisha eneo hili ni kuwa na kitovu kipya cha manisipaa ya Mbeya kwa sababu mji wa kale haina nafasi tena kwa upanuzi wa huduma za serikali na kibiashara.

Kati ya majengo ya kwanza ya Foresti ilikuwa hospitali ya mkoa.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Foresti (Mbeya mjini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania Flag of Tanzania.svg

ForestiGhanaIdudaIganjoIganzoIgawiloIlemiIlombaIsangaIsyesyeItaganoItendeIteziItijiIwambiIyelaIyungaIziwaKalobeMaangaMabatiniMaendeleoMajengoMbalizi RoadMwakibeteMwansekwaMwansangaNondeNsalagaNsohoNzovweRuanda (Mbeya)SindeSisimbaTembelaUyole