Mabatini (Mbeya mjini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Kata ya Mabatini
Soko Matola kwenye kata ya Mabatini (Mbeya) mnamo Oktoba 2007
Soko Matola kwenye kata ya Mabatini (Mbeya) mnamo Oktoba 2007
Kata ya Mabatini is located in Tanzania
Kata ya Mabatini
Kata ya Mabatini
Mahali pa Mabatini katika Tanzania
Anwani ya kijiografia: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89°S 33.43°E / -8.89; 33.43
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Mjini
Idadi ya wakazi
 - 6,602

Mabatini ni jina la kata ya Wilaya ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2002, kata ina wakazi wapatao 6,602 waishio humo.[1]

Eneo la Mabatini iko kati ya kitovu cha kale cha Mbeya na kitovu kipya kwenye eneo la Foresti. Soko Matola pamoja na shule ya sekondari ya Meta ni sehemu ya Mabatini.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. 2002 Population and Housing Census General Report (en). Government of Tanzania. Iliwekwa mnamo 2008-08-18.
Flag of Tanzania.svg Kata za Wilaya ya Mbeya Mjini - Tanzania Flag of Tanzania.svg

Foresti • Ghana • Iduda • Iganjo • Iganzo • Igawilo • Ilemi • Ilomba • Isanga • Isyesye • Itagano • Itende • Itezi • Itiji • Iwambi • Iyela • Iyunga • Iziwa • Kalobe • Maanga • Mabatini • Maendeleo • Majengo • Mbalizi Road • Mwakibete • Mwansekwa • Mwansanga • Nonde • Nsalaga • Nsoho • Nzovwe • Ruanda (Mbeya) • Sinde • Sisimba • Tembela • Uyole