Majengo (Mbeya mjini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Majengo
Kata ya Majengo is located in Tanzania
Kata ya Majengo
Kata ya Majengo
Mahali pa Majengo katika Tanzania
Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89°S 33.43°E / -8.89; 33.43
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Mjini
Idadi ya wakazi
 - 3,314

Kwa maana mengine ya jina hili angalia hapa

Majengo (Mbeya) ' ni jina la kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,314 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53123.

Majengo ni kati ya sehemu za kale kabisa za mji wa Mbeya. Mbeya ilipoanzishwa na Waingereza mnamo mwaka 1927 ilipangwa kufuatana na kawaida ya miji wa kikoloni ya Afrika ya Mashariki kuwa na sehemu tatu[2]:

  • Uzunguni kama sehemu ya nyumba za Wazungu na kando lake ofisi za serikali (District Officer, polisi, mahakama)
  • Uhindini kama mtaa wa biashara iliyokuwa hasa mkononi mwa wafanyabiashara wenye asili ya Uhindi ya Kiingereza na
  • Majengo kama sehemu kwa wafanyakazi Waafrika na familia zao.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

  1. Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC
  2. Kuhusu mpangilio wa miji katika Afrika ya Mashariki wakati wa ukoloni tazama Robert Home, Colonial Urban Planning in Anglophone Africa, uk. 60, ktk Carlos Nunes Silva (Ed.) (2015). Urban Planning in Sub-Saharan Africa: Colonial and Postcolonial Planning Cultures. New York, ISBN: 9780415632294
Flag of Tanzania.svg Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania Flag of Tanzania.svg

ForestiGhanaIdudaIganjoIganzoIgawiloIlemiIlombaIsangaIsyesyeItaganoItendeIteziItijiIwambiIyelaIyungaIziwaKalobeMaangaMabatiniMaendeleoMajengoMbalizi RoadMwakibeteMwansekwaMwansangaNondeNsalagaNsohoNzovweRuanda (Mbeya)SindeSisimbaTembelaUyole


Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Majengo (Mbeya mjini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.