Nenda kwa yaliyomo

Iyunga

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru


Kata ya Iyunga
Kata ya Iyunga is located in Tanzania
Kata ya Iyunga
Kata ya Iyunga

Mahali pa Iyunga katika Tanzania

Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89000°S 33.43000°E / -8.89000; 33.43000
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Mjini
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 23,954

Iyunga ni kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania.

Katika sensa iliyofanyika mwaka 2022 wakazi walihesabika kuwa 23,954 [1]. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 15,026 [2] walioishi humo.

Msimbo wa posta ni 53117.

Iyunga kuna kituo cha reli ya TAZARA cha Mbeya. Kituo kilijengwa na Wachina walijenga njia hii ya reli.

Karibu nacho iko shule ya sekondari ya kiserikali ya Iyunga Sekondari ambayo ni shule ya mabweni ya kusomesha wavulana tu hadi Form VI, Iliwahi kuanzishwa 1942 wakati wa ukoloni kwa jina la Mbeya School kwa wavulana Waingereza.

  1. https://www.nbs.go.tz
  2. "Sensa ya 2012, Mbeya - Mbeya MC" (PDF). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-14.
Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania

ForestGhanaIdudaIganjoIganzoIgawiloIlemiIlombaIsangaIsyesyeItaganoItendeIteziItijiIwambiIyelaIyungaIziwaKalobeMaangaMabatiniMaendeleoMajengoMbalizi RoadMwakibeteMwasangaMwasenkwaNondeNsalagaNsohoNzovweRuandaSindeSisimbaTembelaUyole


Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Iyunga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.