Ghana (Mbeya mjini)

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Kata ya Ghana
Kata ya Ghana is located in Tanzania
Kata ya Ghana
Kata ya Ghana
Mahali pa Ghana katika Tanzania
Majiranukta: 8°53′24″S 33°25′48″E / 8.89°S 33.43°E / -8.89; 33.43
Nchi Tanzania
Mkoa Mbeya
Wilaya Mbeya Mjini
Idadi ya wakazi
 - 3,973
Kwa matumizi mengine ya jina hili tazama Ghana (maana)

Ghana ni jina la kata ya Mbeya Mjini katika Mkoa wa Mbeya, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4,885 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 53102.

Eneo la Ghana mjini Mbeya ni moja wapo ya maeneo ya zamani katika mji wa Mbeya. Eneo hili lilipewa jina la "Ghana" baada ya nchi ya Ghana kupata uhuru wake mwaka 1957. Wananchi wengi wa mji wa Mbeya wa wakati huo walihamasika sana kusikia habari za uhuru wa koloni ya kwanza ya Afrika na kulipa jina lile sehemu hiyo. Sehemu hii ilikuwa kwa ajili ya wafanyakazi wenye kipato kwa wakati huo wa mkoloni.

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Flag-map of Tanzania.svg Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Mbeya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ghana (Mbeya mjini) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.
Flag of Tanzania.svg Kata za Jiji la Mbeya - Tanzania Flag of Tanzania.svg

ForestiGhanaIdudaIganjoIganzoIgawiloIlemiIlombaIsangaIsyesyeItaganoItendeIteziItijiIwambiIyelaIyungaIziwaKalobeMaangaMabatiniMaendeleoMajengoMbalizi RoadMwakibeteMwansekwaMwansangaNondeNsalagaNsohoNzovweRuanda (Mbeya)SindeSisimbaTembelaUyole