Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Mbooni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Mbooni ni mojawapo ya majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika kaunti ya Makueni, Mashariki mwa Kenya, likiwa miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1966.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1966Simon Masau KiokoKANU
1969Simon Masau KiokoKANUMfumo wa Vyama Vingi
1974Fredrick Mulinge KaluluKANUMfumo wa Vyama Vingi
1979Fredrick Mulinge KaluluKANUMfumo wa Vyama Vingi
1983Joseph Konzollo MunyaoKANUMfumo wa Vyama Vingi
1988Johnstone Mwendo MakauKANUMfumo wa Vyama Vingi
1992Johnstone Mwendo MakauKANU
1997Fredrick Mulinge KaluluKANU
2002Joseph Konzollo MunyaoNARC
2007Mutula KilonzoODM-Kenya

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Athi6,184
Kako7,636
Kalawa9,974
Katangini8,668
Kathulumbi7,209
Kisau18,766
Kiteta23,253
Kithungo15,467
Kitundu15,089
Mbooni37,549
Tulimani39,789
Waia19,428
Jumlax
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojisajili Baraza la Utawala wa Mitaa
Kako2,144Wote (Mji)
Kalawa4,970Makueni county
Katangini4,764Makueni county
Kisau11,445Makueni county
Kiteta7,470Makueni county
Kithungo / Kitundu9,092Makueni county
Mbooni11,219Makueni county
Tulimani13,329Makueni county
Jumla64,433
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]