Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Kisauni

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Eneo bunge la Kisauni ni moja kati ya Majimbo 290 ya uchaguzi Nchini Kenya. Jimbo hili linapatikana katika Kaunti ya Mombasa, miongoni mwa majimbo sita ya kaunti hiyo. Lina wodi nane, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Manisipaa ya Mombasa.

Historia

[hariri | hariri chanzo]

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa uchaguzi Mkuu wa 1988 huku mbunge wake wa kwanza akiwa Said Hemed Said. Wa chama cha KANU, wakati Kenya ilikuwa na mfumo wa chama kimoja.

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988Said Hemed SaidKANUMfumo wa Chama Kimoja
1992Rashid M. MzeeFord-Kenya
1997Emmanuel Karisa MaithaDP
2002Emmanuel Karisa MaithaNARCMaitha aliaga dunia Mnamo 2004
2005Ananiah MwabozaLPKUchaguzi Mdogo
2007Hassan Ali JohoODM

Kata na Wodi

[hariri | hariri chanzo]
Kata
Kata Idadi ya Watu*
Bamburi45,294
Ganjoni18,791
Kisauni117,889
Kongowea86,678
Majengo40,241
Mombasa Old Town21,516
Jumlax
*Hesabu 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura Waliojiandikisha
Bamburi16,108
Frere Town12,154
Kizingo8,661
Kongowea13,935
Maweni13,688
Mjambere9,476
Mji wa Kale / Makadara15,243
Mwakirunge4,136
Jumla93,401
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia

[hariri | hariri chanzo]