Kongowea
Mandhari
Kongowea | |
Nchi | Kenya |
---|---|
Kaunti | Mombasa |
Kongowea ni kata ya kaunti ya Mombasa, eneo bunge la Nyali nchini Kenya[1].
Historia
[hariri | hariri chanzo]Kulikuwa mahali pa makazi ya Waswahili wa kale katika pwani ya kusini ya Kenya kwenye Bahari ya Hindi.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency Archived Septemba 29, 2007, at the Wayback Machine
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Kongowea kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |