Bamburi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Bamburi
Bamburi is located in Kenya
Bamburi
Bamburi
Mahali pa mji wa Bamburi katika Kenya
Majiranukta: 4°0′0″S 39°42′59″E / 4°S 39.71639°E / -4; 39.71639
Nchi Kenya
Mkoa Pwani
Wilaya Mombasa
Kanda muda EAT (UTC+3)
Uvuo wa Bamburi

Bamburi inapatikana katika tarafa ya Kisauni, Wilaya ya Mombasa, Kenya, Kaskazini-Mashariki mwa Kisiwa cha Mombasa. Ni kituo cha utalii, kwa hivyo kina hoteli nyingi za uvuo.

Simiti ya Bamburi[hariri | hariri chanzo]

Bamburi ndiko kupatikanako Kiwanda cha Simiti ya Bamburi tawi la Lafarge.

Bustani ya Haller[hariri | hariri chanzo]

Moja ya Hoteli za Uvuo wa Bamburi

Mnamo 1971, Rene Haller aligeuza sehemu ya simiti iliyochanganyika na madini mengine uwa bustani ya Bustani Haller. [1]

Usafiri[hariri | hariri chanzo]

Bamburi inaweza kufikika kwa njia ya basi au matatu kutoka Kisiwa cha Mombasa, leni ya kuelekea Mtwapa au Malindi[2]

Tazama Pia[hariri | hariri chanzo]

Simiti ya Bamburi

Virejeleo[hariri | hariri chanzo]