Nenda kwa yaliyomo

Eneo bunge la Nyali

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
KenyaNchi zingine · Atlasi


Eneo bunge la Nyali ni jimbo la uchaguzi nchini Kenya, moja kati ya majimbo sita ya Kaunti ya Mombasa.