Eneo bunge la Mathira
Mandhari
(Elekezwa kutoka Eneo Bunge la Mathira)
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Eneo bunge la Mathira ni eneo bunge la uchaguzi nchini Kenya. Ni mojawapo wa maeneo bunge sita katika Kaunti ya Nyeri.
Eneo bunge hili lilianzishwa kwa ajili ya uchaguzi wa 1988.
Wabunge
[hariri | hariri chanzo]Mwaka wa Uchaguzi | Mbunge [1] | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1963 | Anderson Kangeri Wamuthenya | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1969 | Davidson Ngibuini Kuguru | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1974 | Davidson Ngibuini Kuguru | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1979 | Davidson Ngibuini Kuguru | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1983 | Eliud Matu Wamae | KANU | Mfumo wa chama kimoja |
1988 | Davidson Ngibuini Kuguru | KANU | Mfumo wa chama kimoja. |
1992 | Eliud Matu Wamae | Democratic Party | |
1997 | Eliud Matu Wamae | Democratic Party | |
2002 | James Nderitu Gachagua | NARC | |
2007 | Ephraim Mwangi Maina | Safina |
Wadi
[hariri | hariri chanzo]' | ||
Wadi | Wapiga kura waliosajiliwa | Mamlaka ya Mtaa |
---|---|---|
Kibiashara | 3,520 | Manispaa ya Karatina |
Hospital | 2,756 | Manispaa ya Karatina |
Iria-ini (Mathira) | 11,981 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Kirimukuyu | 14,561 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Konyu | 13,961 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Magutu | 11,087 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Market | 3,694 | Manispaa ya Karatina |
Ngorano | 12,242 | Baraza la Mji wa Nyeri |
Railway | 3,704 | Manispaa ya Karatina |
Makazi | 3,596 | Manispaa ya Karatina |
Uwanja | 4,193 | Manispaa ya Karatina |
Jumla | 85,295 | |
*Septemba 2005 | [2] |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Center for Multiparty Democracy: Politics and Paliamenterians in Kenya 1944-2007 Ilihifadhiwa 28 Februari 2008 kwenye Wayback Machine.
- ↑ Electoral Commission of Kenya: Registered voters per polling station by electoral area/ward and constituency
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Mathira kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |