Dionysius Mwareopago
Mandhari
(Elekezwa kutoka Denisi Mwareopago)
Dionysius Mwareopago (kwa Kigiriki Διονύσιος ὁ Ἀρεοπαγίτης; alifariki 95 hivi) alikuwa askofu wa kwanza wa Athene, Ugiriki[1].
Umaarufu wake umetokana na Mdo 17:34 kusimulia kwamba alikuwa kati ya wachache waliosadiki hotuba aliyoitoa Mtume Paulo katika Areopago ya mji huo kuhusu Kristo na ufufuko.
Umaarufu uliongezeka baada ya mwanafalsafa asiyejulikana kutoka Siria kuandika vitabu mbalimbali akitumia jina la Dyonisius huyo mwanzoni mwa karne ya 6[2].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu, pengine mfiadini pia[3].
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 3 Oktoba[4].
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Eusebius, Historia Ecclesiae III: iv
- ↑ https://www.santiebeati.it/dettaglio/73675
- ↑ Vetus Martyrologium Romanum: "Athenis, Dionysii Areopagitae, sub Adriano diversis tormentis passi, ut Aristides testis est in opere quod de Christiana religione composuit"
- ↑ Martyrologium Romanum
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- Owen Gingerich, The Book Nobody Read, Penguin Books, 2004, pp. 190–191
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Hieromartyr Dionysius the Areopagite the Bishop of Athens Orthodox icon and synaxarion
- The Holy Hieromartyr Dionysius the Areopagite Ilihifadhiwa 4 Machi 2012 kwenye Wayback Machine. entry from the Prologue from Ochrid by Nikolaj Velimirović
- A Translation of Grimm's Saga No. 439 about Saint Dionysius and King Dagobert Ilihifadhiwa 2 Mei 2010 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dionysius Mwareopago kama habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |