Bonifas mfiadini




Bonifas (kwa Kilatini Bonifacius, yaani Mtendamema, ambaye aliitwa Wynfrith kabla ya kutajiwa na Papa Gregori II jina hilo jipya; Crediton, Wessex, 673 hivi - Dokkum, 5 Juni 754) alikuwa mmonaki Mbenedikto kutoka Uingereza aliyetumwa kama mmisionari huko Ujerumani (716).
Ili kushinda vipingamizi alikwenda huko Roma akafanywa kwanza askofu (722), baadaye askofu mkuu (732), na baadaye tena balozi wa Papa (738), akijitahidi kuimarisha Kanisa katika dola lote.
Hatimaye akawa mfiadini pamoja na wenzake walau 9 katika Uholanzi wa leo.
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na wengineo kama mtakatifu, akiitwa pengine "mtume wa Ujerumani"[1].
Sala yake
[hariri | hariri chanzo]Mungu wa milele, kimbilio la wanao wote, katika udhaifu wetu ndiwe nguvu yetu, katika giza letu ndiwe mwanga wetu, katika uchungu wetu ndiwe faraja na amani yetu.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Mabradha wa Shule za Kikristo
- Orodha ya Watakatifu Waaugustino
- Orodha ya Watakatifu Wabazili
- Orodha ya Watakatifu Wabenedikto
- Orodha ya Watakatifu Wadominiko
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
- Orodha ya Watakatifu Wajesuiti
- Orodha ya Watakatifu Wakarmeli
- Orodha ya Watakatifu Wakolumbani
- Orodha ya Watakatifu Wamersedari
- Orodha ya Watakatifu Waoratori
- Orodha ya Watakatifu Wapasionisti
- Orodha ya Watakatifu Wapremontree
- Orodha ya Watakatifu Waredentori
- Orodha ya Watakatifu Wasalesiani
- Orodha ya Watakatifu Waskolopi
- Orodha ya Watakatifu Wateatini
- Orodha ya Watakatifu Watrinitari
- Orodha ya Watakatifu Watumishi wa Maria
- Orodha ya Watakatifu Wavinsenti
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Marejeo ya Kiswahili
[hariri | hariri chanzo]- Masomo ya Breviari - Sikukuu za Bwana, za Bikira Maria na za Watakatifu - Ndanda Mission Press 1978, uk 182-184
- John Kabeya na wengine - Maisha ya Watakatifu – ed. T.M.P. Book Department – Tabora 1965, 1989, uk. 195-196
- Pd. Leandry Kimario, O.F.M.Cap. - Mfahamu Mtakatifu Somo Wako - Maisha ya Watakatifu wa Kila Siku pamoja na Watakatifu Wafransisko - Toleo la pili - Dar es Salaam 2021, uk. 163-164
- Maurice Soseleje, Kalendari yetu – Maisha ya Watakatifu – Toleo la pili – ed. Benedictine Publications Ndanda Peramiho – Peramiho 1986 – ISBN 9976-63-112-X, uk. 45-46
Marejeo ya lugha nyingine
[hariri | hariri chanzo]- Talbot, C. H., ed. The Anglo-Saxon Missionaries in Germany: Being the Lives of S.S. Willibrord, Boniface, Strum, Leoba and Lebuin, together with the Hodoeporicon of St. Willibald and a Selection from the Correspondence of St. Boniface. New York: Sheed and Ward, 1954.
- The Bonifacian vita was republished in Noble, Thomas F. X. and Thomas Head, eds. Soldiers of Christ: Saints and Saints’ Lives in Late Antiquity and the Early Middle Ages. University Park: Pennsylvania State UP, 1995. 109-40.
- Die Briefe des heiligen Bonifatius und Lullus, a cura di M. Tangl, Berlin, 1916
- J. Semmler - G. Bernt - G. Binding, Bonifatius, in Lexikon des Mittelalters, München, 1983
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- "St. Boniface, Archbishop of Mentz, Apostle of Germany and Martyr", Butler's Lives of the Saints
- Wilhelm Levison, Vitae Sancti Bonifatii Ilihifadhiwa 5 Aprili 2011 kwenye Wayback Machine.
| Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |
