Dr. Dre
Dr. Dre | |
---|---|
Dr. Dre mnamo 2011
| |
Maelezo ya awali | |
Jina la kuzaliwa | Andre Romelle Young |
Amezaliwa | 18 Februari 1965 |
Asili yake | Los Angeles, California, Marekani |
Aina ya muziki | Hip hop, West Coast hip hop, Electronic rap, Gangsta funk, Gangsta rap |
Kazi yake | Rapa, mtayarishaji wa rekodi |
Ala | Sauti, synthesizer, Kinanda, fonografia, mashine ya ngoma |
Miaka ya kazi | 1984–hadi leo |
Studio | Epic, Ruthless, Priority, Death Row, Aftermath, Interscope |
Ame/Wameshirikiana na | Eazy E, Ice Cube, The D.O.C, Snoop Dogg, N.W.A, 2Pac, Eminem, 50 Cent, The Game, Shade Sheist, Busta Rhymes, Xzibit, Royce Da 5'9", Jay-Z, Nas, Blackstreet, Stat Quo, Bishop Lamont, MC Ren, Obie Trice |
Tovuti | Dre2001.com |
Andre Romelle Young (alizaliwa tar. 18 Februari 1965) ni mtayarishaji wa rekodi, rapa, na mmiliki wa studio ya rekodi za muizki kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Dr. Dre. Dre ni mwanzilishi na mmiliki wa sasa Aftermath Entertainment na mmiliki mshiriki-msanii wa zamani wa studio ya Death Row Records, na pia kutayarisha albamu kadhaa kwa ajili yake na wasanii wengine kadhaa wa rekodi hiyo kama vile Snoop Dogg na Eminem.
Akiwa kama mtayarishaji, amejipatia sifa sana kwa kuukuza muziki wa West Coast G-funk, staili ya muziki wa rap unaotengenezwa na synthesizer-yenye ya taratibu, na mdundo wa nguvu.
Dr. Dre alianza shughuli za muiki akiwa kama mmoja kati ya wanamchama wa kundi la muziki la World Class Wreckin' Cru na kisha baadaye akaanzisha kundi lenye athira kubwa ya gangsta rap la N.W.A, ambayo ilivuma sana kwa mashairi yake mazito yenye kutaja maisha ya kiharifu na mtaani kwa ujumla.[1] Mnamo mwaka wa 1992, alitoa albamu kama msanii wa kujitegemea. Na albamu ilikwenda kwa jina la The Chronic, ilitolewa ikiwa chini ya Death Row Records, na kumpelekea kuwa mmoja katia ya wasanii waliouza rekodi bora za muziki wa Marekani kwa mwaka wa 1993[2] na kushinda Tuzo ya Grammy kwa ajili ya single ya "Let Me Ride".
Mnamo mwaka wa 1996, aliondoka Death Row na kwenda kuanzisha studio yake mwenyewe ya Aftermath Entertainment, na kutoa albamu ya mchanganyiko ya Dr. Dre Presents the Aftermath, kunako 1996, na ksiha baadaye akatoa albamu yake nyingine iliyokwendwa kwa jina la 2001, kunako 1999, ambayo ili mfanya ashinde Tuzo ya Grammy akiwa kama mtayarisha bora.
Kunako miaka ya 2000, aliekeza shughuli zake za utayarishaji wa muziki kwa wasanii wengine, wakati muda huo akawa anashiriki katika kutia sauti kwenye baadhi ya nyimbo za wasanii wengine.
Rolling Stone wamemwita ni mmoja kati ya wasanii waliolipwa pesa nyingi sana kwa mwaka wa 2001[3] na 2004.[4] Dr. Dre also had acting roles in the 2001 films The Wash and Training Day.[5]
Wasifu
[hariri | hariri chanzo]Maisha ya awali
[hariri | hariri chanzo]Alizaliwa akiwa kama mtoto wa kwanza wa Verna na Theodore Young, Dr. Dre alizaliwa na jina la André Romelle Young mnamo tar. 18 Februari 1965, wakati mama yake akiwa na umri wa miaka 16. Ameolewa na baba yake, Theodore Young, baada ya kuzaliwa kwake. Jina lake la kati, "Romelle," linatoka katika jina la Theodore Young, ambalo ni jina la kundi la kuimba muziki wa R&B wa lidhaa, The Romells. Mnamo mwaka wa 1968 mama yake akatarikiwa na Theodore Young na kisha baadaye akaja kuoelewa na Curtis Crayon. Kwa pamoja wakaja kuzaa tena mitoto mitatu, wawili wa kiume Jerome na Tyree (wote wamefariki) na binti mmoja aliyeitwa Shameka.
Mnamo mwaka wa 1976 Young akapata kujiunga na shule ya Vanguard Junior High School, lakini kwa kufuatia vurugu, fujo na uhuni uliojaa katika shule ya Vanguard, akahamishwa katika kitongoji kilichosalama kabisa katika shule ya Roosevelt Junior High School.[6] Baadaye Verna akajakuolewa na Warren Griffin, ambaye alikutana naye katika eneo la kazi yake mpya huko Long Beach,[7] ambaye yeye ndiye aliongeza madada wengine watu na mkaka mmoja katika familia. Huyo ndugu wa kiume, Warren Griffin III, ambaye baadaye alikuja kuwa na rapa na kujiita Warren G.[8]
Young alielekeza zake tena katika shule ya Centennial High School ya mjini Compton wakati wa ujana wake mnamo mwaka wa 1979, lakini alihamisha katika shule ya Fremont High School kwa kufuatia viwango vidogo. Young akathubutu kujiandikisha katika kampuni moja iitwayo Northrop Aviation Company kwa mpango wa kujiendeleza kivitendo, lakini viwango vidogo vya shuleni vimefanya awe hafai. Baada ya hapo, akaamua kulenga maisha yake ya kijamii katika masuala ya burudani kwa ajili ya maisha yake ya shule.[9] Young akapata mtoto wa kiume, Curtis, aliyezaliwa tar. 15 Desemba 1981, na Lisa Johnson. Curtis Young alilelewa na mama yake na hajaonana na baba yake hadi Curtis alipokuja kuwa rapa akiwa na umri wa miaka 20 hapo baadaye, akiwa na jina la kisanii la Hood Surgeon.[10]
Muziki
[hariri | hariri chanzo]Albamu
[hariri | hariri chanzo]Albamu za studio
[hariri | hariri chanzo]- The Chronic (1992)
- 2001 (1999)
- Compton (2015)
Albamu za filamu
[hariri | hariri chanzo]- The Wash (2001)
Albamu za ushirikiano
[hariri | hariri chanzo]akishirikiana na World Class Wreckin' Cru
- World Class (1985)
- Rapped in Romance (1986)
akishirikiana na N.W.A.
- N.W.A. and the Posse (1987)
- Straight Outta Compton (1988)
- 100 Miles and Runnin' (1990)
- Niggaz4Life (1991)
Tuzo na mapendekezo
[hariri | hariri chanzo]Dr. Dre ameshinda Tuzo za Grammy mara sita. Tatu kati ya hizo ni kwa kazi yake ya utayarishaji.[11][12][13]
Mwaka | Kazi iliyoteuliwa | Tuzo | Matokeo |
---|---|---|---|
1990 | "We're All in the Same Gang" | Best Rap Performance by a Duo or Group | Nominated |
1994 | "Nuthin' but a 'G' Thang" (with Snoop Doggy Dogg) | Nominated | |
"Let Me Ride" | Best Rap Solo Performance | Ameshinda | |
1996 | "Keep Their Heads Ringin'" | Nominated | |
1997 | "California Love" (with 2Pac & Roger Troutman) | Best Rap Performance by a Duo or Group | Nominated |
1998 | "No Diggity" (with Blackstreet & Queen Pen) | Best R&B Song | Nominated |
2000 | "Still D.R.E." (with Snoop Dogg) | Best Rap Performance by a Duo or Group | Nominated |
"Guilty Conscience" (with Eminem) | Nominated | ||
2001 | "Forgot About Dre" (with Eminem) | Ameshinda | |
"The Next Episode" (with Snoop Dogg, Kurupt & Nate Dogg) | Nominated | ||
The Marshall Mathers LP (as engineer) | Album of the Year | Nominated | |
Best Rap Album | Ameshinda | ||
2001 | Nominated | ||
Himself | Producer of the Year, Non-Classical | Ameshinda | |
2002 | Nominated | ||
2003 | Nominated | ||
"Knoc" (with Knoc-turn'al & Missy Elliott) | Best Music Video, Short Form | Nominated | |
The Eminem Show (as producer) | Album of the Year | Nominated | |
2004 | "In da Club" (as songwriter) | Best Rap Song | Nominated |
2006 | Love. Angel. Music. Baby. (as producer) | Album of the Year | Nominated |
"Encore" (with Eminem & 50 Cent) | Best Rap Performance by a Duo or Group | Nominated | |
2010 | "Crack a Bottle" (with Eminem & 50 Cent) | Ameshinda | |
Relapse (as engineer) | Best Rap Album | Ameshinda | |
2011 | Recovery (as producer) | Album of the Year | Nominated |
2012 | "I Need a Doctor" (with Eminem & Skylar Grey) | Best Rap/Sung Collaboration | Nominated |
Best Rap Song | Nominated | ||
2014 | good kid, m.A.A.d city (as featured artist) | Album of the Year | Nominated |
2016 | Compton | Best Rap Album | Nominated |
2017 | Straight Outta Compton | Best Compilation Soundtrack for Visual Media | Nominated |
Mwaka | Kazi iliyopendekezwa | Tuzo | Matokeo |
---|---|---|---|
1993 | "Nuthin' But a "G" Thang" | Best Rap Video | Nominated |
1994 | "Let Me Ride" | Nominated | |
1995 | "Keep Their Heads Ringin'" | Ameshinda | |
1997 | "Been There, Done That" | Nominated | |
Best Choreography in a Video | Nominated | ||
1999 | "My Name Is" | Best Direction | Nominated |
"Guilty Conscience" | Breakthrough Video | Nominated | |
2000 | "The Real Slim Shady" | Best Direction in a Video | Nominated |
2000 | "Forgot About Dre" | Best Rap Video | Ameshinda |
2001 | "Stan" | Best Direction in a Video | Nominated |
2009 | "Nuthin' But a "G" Thang" | Best Video (That Should Have Won a Moonman) | Nominated |
Filamu
[hariri | hariri chanzo]Mwaka | Jina | Nafasi | Maelezo |
---|---|---|---|
1992 | Niggaz4Life: The Only Home Video | Himself | Documentary |
1996 | Set It Off | Black Sam | Minor Role |
1999 | Whiteboyz | Don Flip Crew #1 | Minor Role |
2000 | Up In Smoke Tour | Himself | Concert Film |
2001 | Training Day | Paul | Minor Role |
2001 | The Wash | Sean | Main Role |
2015 | Unity[14] | Narrator | Documentary |
2017 | The Defiant Ones[15] | Himself | Documentary |
Mwaka | Jina | Nafasi | Maelezo |
---|---|---|---|
2005 | 50 Cent: Bulletproof | Grizz | Voice role and likeness |
Mwaka | Jina | Mwigizaji | Maelezo |
---|---|---|---|
2015 | Straight Outta Compton | Corey Hawkins | Biographical film about N.W.A |
2016 | Surviving Compton: Dre, Suge & Michel'le | Chris Hamilton | Biographical film about Michel'le |
2017 | DPG 4 Life: Tha Movie | Curtis Young[16] | Biographical film about Tha Dogg Pound |
All Eyez on Me | Harold Moore[17] | Biographical film about Tupac Shakur |
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]- ↑ Erlewine, Stephen Thomas (2000). "Dr. Dre - Biography". Allmusic. Iliwekwa mnamo 2007-09-22.
- ↑ Holden, Stephen. "The Pop Life", The New York Times, 1994-01-14. Retrieved on 2008-03-03.
- ↑ LaFranco, Robert (2002-06-13). "U2, Dre Highest Earning Artists". Rolling Stone. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-02-22. Iliwekwa mnamo 2006-12-08.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help); Unknown parameter|coauthors=
ignored (|author=
suggested) (help) - ↑ LaFranco, Robert (2005-02-10). "Money Makers". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-02. Iliwekwa mnamo 2006-12-08.
{{cite web}}
: Unknown parameter|=
ignored (help) Archived 2 Aprili 2008 at the Wayback Machine. - ↑ Moss, Corey. "Dr. Dre's Final Album Will Be Hip-Hop Musical", MTV News, 2002-04-03. Retrieved on 2007-08-09. Archived from the original on 2007-08-12.
- ↑ Ro 2007, p. 9
- ↑ Ro 2007, p. 10
- ↑ Kenyatta 2000, p. 14
- ↑ Ro 2007, p. 2
- ↑ Ro 2007, p. 11
- ↑ "Past Winners Search – Dr. Dre". Grammy.com. Iliwekwa mnamo Februari 5, 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Past Winners Search – Andre Young". Grammy.com. Iliwekwa mnamo Februari 5, 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Grammy Awards History". Rock On The Net. Iliwekwa mnamo Machi 7, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Dave McNary (Aprili 22, 2015). "Documentary 'Unity' Set for Aug. 12 Release with 100 Star Narrators". Variety. Iliwekwa mnamo Mei 1, 2015.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ The Defiant Ones at the Internet Movie Database
- ↑ ""DPG 4 Life" Movie Cast Released". hiphopdx.com.
- ↑ "Harold House Moore plays to Dr. Dre in All Eyez on Me". www.lamanagement.co. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 5, 2016. Iliwekwa mnamo Februari 11, 2016.
{{cite web}}
: More than one of|accessdate=
na|access-date=
specified (help); More than one of|archivedate=
na|archive-date=
specified (help); More than one of|archiveurl=
na|archive-url=
specified (help); Unknown parameter|dead-url=
ignored (|url-status=
suggested) (help)
Viungo vya Nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasi
- Dr. Dre at the Internet Movie Database
- Moving Target : article in The Source by Ronin Ro, Novemba 1992
- Blogu rasmi ya Detox Archived 16 Februari 2011 at the Wayback Machine.
- Beats by Dr. Dre tovuti rasmi
- Dr. Dre at the Internet Movie Database