Ali Kiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Pitio kulingana na tarehe 13:47, 28 Desemba 2019 na Jadnapac (majadiliano | michango)
Ali Kiba

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Ali Saleh Gentamilan
Amezaliwa Novemba 29 1986 (1986-11-29) (umri 37)
Asili yake Tanzania
Aina ya muziki Mwanamuziki
Kazi yake Mwimbaji Mwanasoka
Aina ya sauti Sauti, Piano
Miaka ya kazi 2006 -
Studio Rockstars4000
Kings Music
Ame/Wameshirikiana na Aslay
Abdu Kiba
Christian Bella
Ommy Dimpoz
M.I
Patoranking
Abby Skills
Mr. Blue

Ali Saleh Gentamilan (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa mkoani Iringa mnamo 26 Novemba 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya Rockstar4000 ambayo ni miongoni mwa wamiliki wake.

Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzake, hivyo amejikita sehemu nyingine kwa kusajiliwa na Coastal Union kucheza mpira wa miguu kwa msimu wa 2018/2019 wa Vodacom Premier League.

Maisha

‘Alikiba’ alizaliwa na wazazi wake Saleh Omari na Tombwe Njere. Ni mtoto wa kwanza kati ya watoto wanne kwenye familia yao, akifuatiwa na Abdu Saleh Kiba ambaye pia ni mwanamuziki, Zabib Kiba (dada yake) na Abuu Kiba (mdogo wao wa kiume wa mwisho).[1]

Mafanikio

Mwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama "msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki" - Tanzania, Kenya na Uganda.

Kwa mwaka 2015 ameshinda tuzo tano za Kili awards.

Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki "Sony Music Entertainment" ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.


TUZO

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Himself Best International Act: Africa Ameshinda[2]

Nafca

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Himself Favorite Artist Ameshinda
Mwana Favorite Song Ameshinda[3]

East Africa TV Awards

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Best Male Artist Ameshinda
Song of the Year Ameshinda
Video of the Year Ameshinda

ASFA Awards (Uganda)

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Most Stylish Artiste East Africa Ameshinda
Aje Most Fashionable Music Video Africa Ameshinda[3]

Soundcity Awards

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Video of the Year Ameshinda

TZ INSTA Awards 2016

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Top Trending Song Ameshinda

Best Celebrity Player Awards (Uganda)

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Himself Best Celebrity Player Ameshinda

WANNAMusic Awards 2016 (France)

Mwaka Kazi iliyoteuliwa Tuzo Matokeo
2016 Aje Best Male Artist Kigezo:Nominated
Best Collabo Kigezo:Nominated
People Choice Ameshinda


Viungo vya nje

WikiMedia Commons
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ali Kiba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
  1. https://globalpublishers.co.tz/historia-ya-maisha-ya-alikiba-tangu-kuzaliwa-video/
  2. "Ali Kiba atajwa kuwania Tuzo za MTV EMMA 2016". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 10 October 2016. Iliwekwa mnamo 7 October 2016.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  3. 3.0 3.1 "Annapita.com". www.annapita.com.