Rockstar4000

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Ukurasa wa kuelekeza
Jump to navigation Jump to search

Inaelekeza kwa:

Rockstar4000
RockStar4000 logo.png
Imeanzishwa 2010
Aina za muziki Bongo Flava
Nchi Tanzania
Mahala Dar es salaam,Tanzania
Tovuti Official website

Rockstar4000 ni jina la lebo ya maarufu ya muziki na televisheni kutoka nchini Afrika Kusini na ina tawi dogo nchini Tanzania. Msanii maarufu ambaye alikuwa na hadi sasa yupo chini ya lebo hii ni Ali Kiba ambaye mwaka wa 2017 amekuwa mkurugenzi na mshirika wa kampuni hiyo kwa upande wa Afrika Mashariki. Lebo ipo mjini Johannesburg, Afrika Kusini na mkurugenzi mkuu ni Seven Mosha na Jandre Louw.[1] Kiba na Mosha walikutana wakati wa kampeni za One8 ambayo ilikuwa inasimamiwa na mwanamuziki kutoka Marekani, R. Kelly. Tangu hapo, Kiba akawa chini ya menejimenti ya Mosha kupitia Rockstar hadi 2017 walipomuingiza kama sehemu ya kurugenzi ya Rockstar TV na lebo ya kusimamia wasanii. [2]

Yaliyomo

Marejeo[hariri | hariri chanzo]

Musical notes.svg Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Rockstar4000 kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.