Ali Kiba

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Ali Kiba
Ali Kiba.jpg
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Ali Saleh Gentamilan
Amezaliwa Novemba 29 1986 (1986-11-29) (umri 33)
Asili yake Tanzania
Aina ya muziki Mwanamuziki
Kazi yake Mwimbaji Mwanasoka
Aina ya sauti Sauti, Piano
Miaka ya kazi 2006 -
Studio Rockstars4000
Kings Music
Ame/Wameshirikiana na Aslay
Abdu Kiba
Christian Bella
Ommy Dimpoz
M.I
Patoranking
Abby Skills
Mr. Blue

Ali Saleh Gentamilan (anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Ali Kiba; pia: King Kiba; alizaliwa 1986) ni mwanamuziki wa Tanzania, mwimbaji na mtunzi wa nyimbo chini ya lebo ya Rockstar4000 ambayo ni miongoni mwa wamiliki wake.

Ana vipaji vilivyo tofauti na wasanii wenzake, hivyo amejikita sehemu nyingine kwa kusajiliwa na Coastal Union kucheza mpira wa miguu kwa msimu wa 2018/2019 wa Vodacom Premier League.

Maisha[hariri | hariri chanzo]

Ni mtoto wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wanne, ambaye mdogo wake pia ni mwanamuziki wa Kitanzania.

Mafanikio[hariri | hariri chanzo]

Mwaka 2011, Ali Kiba alichaguliwa kama "msanii wa kwanza wa Afrika Mashariki" - Tanzania, Kenya na Uganda.

Kwa mwaka 2015 ameshinda tuzo tano za Kili awards.

Tarehe 20 Mei 2016, kampuni ya kimataifa inayojishughulisha na muziki "Sony Music Entertainment" ilitangaza kumsainisha mkataba wa kufanya kazi na Ali Kiba.

Viungo vya nje[hariri | hariri chanzo]

WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Musical notes.svg Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Tanzania bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ali Kiba kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.