4 Agosti
Mandhari
(Elekezwa kutoka Agosti 4)
Jul - Agosti - Sep | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 4 Agosti ni siku ya 216 ya mwaka (ya 217 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 149.
Matukio
[hariri | hariri chanzo]- 1903 - Uchaguzi wa Papa Pius X
- 1914 - Jeshi la Ujerumani linavamia Ubelgiji kinyume cha mkataba wa London wa mwaka 1839: kwa sababu hiyo Uingereza unaingia katika vita kuu ya kwanza ya dunia dhidi ya Ujerumani
Waliozaliwa
[hariri | hariri chanzo]- 1521 - Papa Urban VII
- 1859 - Knut Hamsun, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1920
- 1901 - Louis Armstrong, mpuliza tarumbeta wa Jazz
- 1961 - Barack Obama, Rais wa Marekani (tangu 2009)
- 1985 - Antonio Valencia, mchezaji mpira kutoka Ekwador
Waliofariki
[hariri | hariri chanzo]- 824 - Heizei, mfalme mkuu wa Japani (806-809)
- 1859 - Mtakatifu Yohane Maria Vianney, paroko Mkatoliki wa Ars nchini Ufaransa
- 1977 - Edgar Adrian, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1932
- 2003 - Frederick Robbins, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1954
Sikukuu
[hariri | hariri chanzo]Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yohane Maria Vianney, Aristarko wa Thesalonike, Yustini na Kreshensioni, Eleuteri wa Tarsia, Ia, Eufroni wa Tours, Onofri wa Panaia, Raineri wa Split n.k.
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 4 Agosti kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |