Ziwa Mwananyamala
Mandhari
Ziwa Mwananyamala ni kati ya maziwa madogo ya Tanzania.
Lilipatikana katika mkoa wa Dar es Salaam. Kwa sasa limepotea kutokana na makazi ya watu kujengwa katika eneo hilo na hivyo kupelekea maji yaliyokuwa yanakusanyika hapo kuathiri maeneo mengine, hasa kwenye mkondo wa maji Jangwani.
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu maeneo ya Tanzania bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Ziwa Mwananyamala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Usitaje majina ya madiwani na viongozi au maafisa wengine wa sasa maana wanabadilika haraka mno. |