Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Mandhari
(Elekezwa kutoka Wizara ya Habari, Utamudini na Michezo)
Wizara ya Habari, Utamudini na Michezo (Kiingereza: Ministry of Information, Culture and Sports kifupi (HUM)) ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.
Mashirika
[hariri | hariri chanzo]- Baraza la Kiswahili la Taifa[1] (BAKITA)
- Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA)
- Baraza la Michezo la Taifa (BMT)
Marejeo
[hariri | hariri chanzo]Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Tovuti rasmi Ilihifadhiwa 24 Julai 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya siasa bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |