Viwakilishi vya -a unganifu
Mandhari
Mifano |
---|
|
Viwakilishi vya -a unganifu ni neno/maneno ya sifa - yanayosimama badala ya nomino inayosifiwa kwa kutumia mzizi wa -a unganifu.
- Mifano
- Ya moto yanaunguza
- Wa Mbeya ni mweupe
- Vya China ni imara sana
- Cha kukalia kimevunjika
- La saba wamehitimu
- Tokeo la matumizi ya juu
Yamoto yanaunguzaWaMbeya ni mweupeVyaChina ni imara sanaChakukalia kimevunjikaLasaba wamehitimu
Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Viwakilishi vya -a unganifu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |