Vinsenti Pallotti
Mandhari
(Elekezwa kutoka Vinchensyo Pallotti)
Vinsenti Pallotti (Roma, Italia, 21 Aprili 1795 – Roma, 22 Januari 1850) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki na mwanzilishi wa Shirika la Utume Katoliki.
Kwa maandishi yake na kwa miundo ya namna hiyo aliyoianzisha alichochea wito wa Wakristo wote wa kulifanyia Kanisa kazi kwa bidii.
Alitangazwa na Papa Pius XII kuwa mwenye heri tarehe 22 Januari 1950, halafu mtakatifu na Papa Yohane XXIII tarehe 20 Januari 1963.
Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Januari[1].
Tanbihi
[hariri | hariri chanzo]Tazama pia
[hariri | hariri chanzo]- Watakatifu wa Agano la Kale
- Orodha ya Watakatifu Wakristo
- Orodha ya Watakatifu wa Afrika
- Orodha ya Watakatifu Wafransisko
Viungo vya nje
[hariri | hariri chanzo]- Jansenius and Jansenism - from the Catholic Encyclopedia
- Venerable Vincent Mary Pallotti - from the Catholic Encyclopedia
- International Directory of the Pallottines Ilihifadhiwa 7 Julai 2007 kwenye Wayback Machine. (Western Canadian Delegature)
- Vincent Pallotti bio Ilihifadhiwa 23 Julai 2011 kwenye Wayback Machine.
- St. Vincent Pallotti
- "Apostle of the Infinite: The Life of Saint Vincent Pallotti" (Saint Benedict Center)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |