Uchafuzi wa bahari

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta

Bahari za dunia kwa karne sasa zimeonekanwa na kua sehemu mahususi ya kutupia taka . Ila kwamba kiasi cha uchafu ni mwingi mno mpaka hupeleka athari bahari kuu kwa viumbe wa huko . Vyanzo huhusishwa kutupwa taka ,mito ilio na maji machafu,kutoka uchafuzi hewa na shughuli za uvuvi.

Bahari zilizoathariwa ; 1.Bahari Kusini mashariki Pasifiki 2.Amerika kaskazini 3.Bahari Caribian 4.Bahari kusini magharibi Atlantiki 5.bahari afrika magharibi 6.bahari ya kaskazi 7.Bahari ya Baltiki 8.Bahari ya Mediterenia 9.Bahari ya Afrika kusini 10.Ghuba Farsi 11.Bahari Hindi 12.Bahari Ya Kusini mashariki Asia 13.maeneo ya Japani 14.maeneo ya Australia 15.maeneo ya New Zealand

vyanzo vya uchafu vya bahari ni;maji taka;maji moto;mbolea na sumu za wadudu;migodi;mashamba ya chumvi;taka za nyuklia;viwanda vya chuma;kampuni za karatasi;visima vya mafuta;usafirishwaji wa mafuta;viwanda vya kusindika vyakula.