Taka

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Jump to navigation Jump to search
Taka zikiwa kwenye shimo.

Taka (kwa Kiingereza "waste") ni bidhaa au kitu chochote kisichohitajika au kisichoweza kutumika tena, au ni kifaa chochote kilichotupwa baada ya matumizi ya msingi kwa kuwa hakina kazi yoyote kwa mtumiaji.

Taka zina athari nyingi katika jamii. Athari hizo niː ̽*1. Taka husababisha magonjwa mbalimbali ikiwemo homa ya manjano,minyoo, kansa n.k.

Hivyo tunashauriwa kutupa taka kwenye mashimo na kisha kuzichoma moto ili zisije zikaleta madhara kwenye jamii.

Morpho didius Male Dos MHNT.jpg Makala hii kuhusu mambo ya biolojia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Taka kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.