Mbolea za chumvichumvi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
(Elekezwa kutoka Mbolea)
Jump to navigation Jump to search

Mmea hutumia virutubisho vikuu vitatu(3) ambavyo huchukua nafasi kubwa katika mmea;hivyo Mbolea ni virutubisho ambavyo huitajika katika ukuaji wa mmea. Virutubisho hivyo ni naitrojeni(N),fosiforasi(P),potasiamu(K) ambavyo kwa ujumla hutengeneza mbolea.

Aina za mbolea ni

N.P.K (17:17:17)

C.A.N(27:0:0)

D.A.P(18:46:0)

N.P.K

N.P.K ni ufupisho wa maneno yafuatayo; N-naitrojeni, P-fosfati na K-potashi.kazi ya naitrogeni ni kukuza mmea na kushamiri vizuri na kutoa suke pana na kazi ya fosfati ni kutengeneza rangi ya kijani(chanikiwiti) na kutengeneza shia na virutubisho vya mmea na potashi ni kufanya mmea kukua kwa kasi na kustawisha mmea.