Siasa ya Malawi

Kutoka Wikipedia, kamusi elezo huru
Rukia: urambazaji, tafuta
Malawi

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
MalawiNchi zingine Atlasi


Siasa ya Malawi huchukua muundo taifa lenye wa demokrasia ya uwakilishi na mfumo wa urais. Rais wa Malawi ndiye kiongozi wa Nchi na mkuu wa serikali. Mfumo wa uchaguzi unaotumika ni ule wa vyama vingi. Mamlaka ya Utendaji yaani ‘’Executive power’’ yanatekelezwa na serikali. Mamlaka ya Uundaji wa sheria yamepewa serikali na Bunge.

Mamlaka a kuhukumu yako huru kutoka kwa yale ya utendaji nay a uundaji wa Sheria. Serikali ya Malawi imekuwa Demokrasia ya Vyama vungi tangu 1994.

Tawi la Mahakama (Executive)[hariri | hariri chanzo]

Main office holders
Idara Jina Chama cha Muda wa Utawala
Rais Bingu wa Mutharika DPP 20 Mei 2004
Makamo wa Rais Cassim Chilumpha UDF 16 Juni 2004

Chini ya Katiba ya 1995, rais ambaye pia ni Kiongozi wa Nchi na kiuongozi wa Serikali anachaguliwa na raia baada ya kipindi cha miaka mitano. Malawi ina Makamo wa Rais ambaye huchaguliwa ma rais mwenyewe. Rais pia ana nafasi kauli ya kumchagua makamo wa rais wa pili, ambaye lazima awe katika chama tofauti. Wanachama wa Baraza la Mawaziri wanaweza kuteuliwa miongoni mwa, au nje ya Bunge. Baraza hili huchaguliwa na rais.

Bakili Muluzi alikuwa rais wa Malawi kuanzia 21 Mei 2004, huku akiwa ameshinda tena baada ya kushinda uchaguzi wa 2000 na asilimia 51.4 ya kura, akimshinda mpinzani wake wa karibu zaidi Gwandaguluwe Chakuamba ambaye alikuwa na asilimia 44.3 kutoka chama cha MCP-AFORD. Mnamo 2004, Bingu wa Mutharika alimshinda tena Chakwamba kwa tofauti ya alama kumi.

Tawi la Bunge[hariri | hariri chanzo]

Bunge la Malawi lina wabunge 194amba huchaguliwa na raia wanao wawakilisha kwa ki[indi cha miaka mitano. Katiba pia inaruhusu uundaji wa jumba la pili, Senate ambalo huwa na viti 80, lakini hadi leo hakuna harakati zilizotekelezwa kuliunda jumba la Senate. Senate inanuiwa kuunda uwakilishi wa viongozi wa kikale na matabaka mbalimbali ya Wilaya, na pia makundi Fulani yenye mahitaji speshali kama vile wanawake, watoto na vilema.

Vyama vya Kisiasa na Uchaguzi[hariri | hariri chanzo]

Kigezo:Uchaguzi wa Urais wa Malawi, 2004 Kigezo:Uchaguzi wa Ubunge wa Malawi, 2004

Tawi la Mahakama[hariri | hariri chanzo]

Katiba huruhusu Mamlaka ya mahakama ambayo ni huru kutokana nay ale ya Bunge na Mamlaka ya Utendaji. Mfumo wa mamlaka ya Mahakama unaiga ule wa Uingereza. Umeundwa na mahakama za Mahakimu (Magisterial) za ngazi za chini, Mahakama Kuu na Mahakama ya Kupinga Kesi (Appeal).

Serikali za Mitaa[hariri | hariri chanzo]

Serikali za mitaa zimeundwa na wilaya 28 katika maeneo matatu yanayotawalwa na Watawala wa Maeneo na Wakuu wa Wilaya amao wanachaguliwa na serikali kuu. Uchaguzi wa kwanza wa Serikali za mitaa katika hiistoria ya mfumo wa vyama vingi ulifanyika mnamo 21 Novemba 2000. UDF ilishinda asilimia 70 ya viti hivi katika uchaguzi huu.

Wilaua hizi ni: Balaka, Blantyre, Chikwawa, Chiradzulu, Chitipa, Dedza, Dowa, Karonga, Kasungu, Likoma, Lilongwe, Machinga, Mangochi, Mchinji, Mulanje, Mwanza, Mzimba, Nkhata Bay, Nkhotakota, Nsanje, Ntcheu, Ntchisi,Neno Phalombe, Rumphi, Salima, Thyolo, Zomba

Ushiriki katika Mashirika ya Kimataifa[hariri | hariri chanzo]

ACP, AfDB, Jumuia ya Madola, CCC, ECA, FAO, G-77, IBRD, ICAO, ICCt, ICFTU, ICRM, IDA, IFAD, IFC, IFRCS, ILO, IMF, IMO, Intelsat, Interpol, IOC, ISO (correspondent), ITU, NAM, OAU, OPCW, SADC, UN, UNCTAD, UNESCO, UNIDO, UNMIK, UPU, WFTU, WHO, WIPO, WMO, WToO, WTrO

Viungo vya Nje[hariri | hariri chanzo]