Wilaya ya Nkhotakota

Wilaya ya Nkhotakota ni wilaya mojawapo katika Kanda ya Kati nchini Malawi. Makao makuu yako Nkhotakota. Wilaya ina eneo la km² 4,259 na ina wakazi 395,897. [1] Neno Nkhotakota linamaanisha "kona-kona" katika lugha ya Chichewa. Iko kando ya Ziwa Nyasa inayoitwa hapa Ziwa Malawi.
Vitengo na utawala[hariri | hariri chanzo]
Kuna majimbo matano ya Bunge la Kitaifa huko Nkhotakota: [2]
- Nkhotakota - Kati
- Nkhotakota - Kaskazini
- Nkhotakota - Kaskazini Mashariki
- Nkhotakota - Kusini
- Nkhotakota - Kusini Mashariki
Marejeo[hariri | hariri chanzo]
- ↑ 2018 Population and Housing Census Main Report. Malawi National Statistical Office. Iliwekwa mnamo 25 December 2019.
- ↑ Parliament of Malawi - Members of Parliament - Nkhotakota District. Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-06-02. Iliwekwa mnamo 2022-01-12.